Hivi wewe unajua Tabia ya fisi kwenye chakula alivyo halafu unasema naenda mikumi mbuga za wanyama kutembea unapanda basi la kwenda Sumbawanga likifika Mikumi katikati unaomba kushuka eti umefika. Abiria wenzako wanakuonya hapa ni hatari, unalazimisha unashuka - ghafla unakutana na fisi unaiuliza eti hapa Mikumi Hotel ipo wapi? Ndipo fisi ananyanyua kichwa kama anasema ipo hapo mbele wewe unamuambia tena fisi naomba nisindikize nisishambuliwe na Simba unageuka unaanza kwenda hotelini. Fisi yupo mgongoni anakufuata tu nyuma yako. Hujafika hotelini, alhamdililah Simba huyu hapa unageuka kumwangalia Mlinzi wako fisi unakuta patupu kumbe amefichama anasubiria alichotegemea mabaki yako.Hapo spika Job Ndugai ameachiwa zigo zito katika masuala ya kusikitisha yaliyomkumba Mh. Tundu Lissu na pia matamshi / kauli za wabunge wa CCM kina Bulembo na wenzake ktk kikao kinachoendelea Dodoma hivi sasa.
Hawa maCCM wanasahau serikali ya Tanzania imesaini mikataba mingi ya kimataifa inayowabana na pia kuwataka waizangatie na kuwajibika.
Kwa hiyo fisiemu(CCM) sio wa kuwaamini kwenye mikataba nadhani umeona mikataba walioingia.
(1) Waziri wa Polifisiemu amesaini mkataba wa TZS tirioni 4 ili tusiwe tunaibiwa yeye mwenyewe kaiba kabla mkataba hujaanza kazi na kwenye mkataba tu kaiba tayari
(2) Huku tena Waziri wa Fedha kaingia mkataba na watu wametupa pesa tutokomeze Malaria tununue vyandarua wafadhili wanamuuliza hela yetu mmefanyia nini na ipo wapi maana vyandarua hatuvioni yeye anajibu kirahisi tu eti Mimi nimesomea na Nina PhD 4 za debit na kredit haya mambo ya madawa mimi siyajui labda tuwaulize kwenye PhD za maralia kama wamenunulia piriton watanzania walale salama
(3) Nasubiri majibu ya Ndugai kuhusu huo mkataba na IPU alioingia na michango ya kina mheshimiwa Bulembo na mheshimiwa Mama Rwakatare nitaona kumbe kwenye mihimili hii nako kuna kukanyigishana mafuta na waumini ndiyo hao kina mheshimia Rwakatare na Bulembo na Ndugai ni mshereheshaji mkuu