Very frusrtating kuona mtu mzima unatetea jambo pasipo misingi ya hoja(Mipasho);Some of us tulitegemea utupe logic zaid pengine tungeweza kujifunza kutoka kwakoLissu hajui sheria kuongea kwa sauti ya juu mahakamani na kuropoka sio kuwa gwiji wa sheria
Majibu yote ni sahihi, kwa aliyofanya Rais Magufuli, Tanzania kuwa km ulaya ndani ya muda mfupi ni kitu cha kawaida tu
Wakina nani watapanda treni ya umeme, ATCL yenyewe keshaishindwa. kile siku mnakuja na figure za uongoMagufuli anajenga tren ya umeme, dar kigoma itakuwa masaa matano tu
Nimefunga biashara kwa sababu ya kodi zenu unrealistic na za kipumbavuSisi Watanzania wazalendo tunafurahi uongozi wa Rais Magufuli
Wanaotumika na Mabeberu wamezibiwa mirija ndio hao wanalia
πππ Pambana na Hali yako.Sisi wanabulyanhulu 7 September yetu ni kokosa ajira baada ya babu yenu kuwafanyia visa Acacia.
Magufuli anajenga tren ya umeme, dar kigoma itakuwa masaa matano tu
Kuteka watu ni kufuata sheria?
Kupiga wabunge risasi ni kufuata sheria ?
Kupora korosho za wakulima ni kufuata sheria ?
Kufungia vyombo vya habari ni kufuata sheria ?
John amemteka ndugu yangu. Ni mwaka wa pili Sasa haonekani.wewe hadithi yako ni ipi.?
John hawezi kukwepa lawama za kuwateka akina Mo, Azory, Ben, Ney wa Mitego, Roma, Mdude na wengine wengi.CHADEMA ACHENI UNAFIKI. MNAZUNGUMZIA KUTEKWA BEN SAA NANE WAKATI MNAJUA WALIOMTEKA. KAMA MNATETEA HAKI MBONA HAMSEMI CHOCHOTE JUU YA WAFUASI WA CCM, VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA NA POLISI WALIOUAWA MKURANGA??? MNAZUNGUMZIA KILA SIKU BEN SAA NANE TU KWA KUPOTEA, JE, HAO WALIOUAWA SIO BINADAMU?? MNAJIFANYA HAMHUSIKI NA MATUKIO HAYO WAKATU TUNAJUA WALIOTEKA BEN SAA NA KUMPOTEZA NI NYIE.
RISASI ALIZOPIGWA LISSU MLIZIPANGA NYIE NDO MAANA MMEMPOTEZA KABISA DEREVA WA LISSU,
KOROSHO WAKULIMA WALIKWISHA LIPWA KWA BEI NZURI KULIKO BEI WALIOTAKA KUPEWA NA WAFANYA BIASHARA.
VYOMBO VYA HABARI VISIVYOFUATA WEREDI LAZIMA SHERIA ITUMIKE KUVIFUNGIA. SHERIA ZINATUNGWA ILI ZITUMIKE.
Very true buddyWe have a tale to tell
Pole sana mpwaJohn amemteka ndugu yangu. Ni mwaka wa pili Sasa haonekani.
Hawajaanza kupanda bombadia, kabla ya hapo yalikuepo makampuni mengineATCL kina lissu ndio wanapanda kuzunguka Tanzania
Tren ya umeme watapanda wajasiriamali wanaochukua mzigo kariakoo na kurudi mkoani siku hiyo hiyo
Wewe endelea kula ugali wa shemeji
Huyu babu bonge la duanzi kazuia makapi ya makinikia wakati kila wiki ndege ziliijia pale pale plant matofali.ya dhahabu, babu kakurupuka kaishia kugharimu ajira za wafanyakazi elf2Hilo sitasahau pale viunga vya village.
BGM.
Mzee mduanzi sana hakika 2020 hapataeleweka!
Member wa campaign huyo chief, usipoteze muda wako kumwelimisha. New member September 2020John hawezi kukwepa lawama za kuwateka akina Mo, Azory, Ben, Ney wa Mitego, Roma, Mdude na wengine wengi.
Nipo napambana mkuu, ila babu yenu siyo, kura yangu napeleka kwa lissu!πππ Pambana na Hali yako.
Unatishia kuondoa tone moja la maji baharini,ukidhani kwamba bahati itakauka?π,mkuu sio wewe tu, yaani hata ukoo wenu wote ukipiga Kura kwa Lissu, bado Magufuli atabaki kuwa Rais wenu.Nipo napambana mkuu, ila babu yenu siyo, kura yangu napeleka kwa lissu!