Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Katika miaka hii mitano kila Mtanzania awe ni tajiri au maskini ana hadithi yake ya maumivu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Katika miaka hii mitano kila Mtanzania awe ni tajiri au maskini ana hadithi yake ya maumivu

Lissu hajui sheria kuongea kwa sauti ya juu mahakamani na kuropoka sio kuwa gwiji wa sheria
Very frusrtating kuona mtu mzima unatetea jambo pasipo misingi ya hoja(Mipasho);Some of us tulitegemea utupe logic zaid pengine tungeweza kujifunza kutoka kwako
 
Majibu yote ni sahihi, kwa aliyofanya Rais Magufuli, Tanzania kuwa km ulaya ndani ya muda mfupi ni kitu cha kawaida tu

Muda mfupi ni upi?kama tu mpaka sasa bado maelfu ya wananchi wanasafiri kwa train kutoka kigoma mpaka Dar siku 3 wako njiani na wamejazwa kama ng'ombe? Mtu anasafiri siku tatu kasimama. Shida za watu wa hii nchi huzijui Buku 7 ya lumumba haikusaidii chochote mabeberu ndo wafadhili wa bajeti ya nchi yako kwa 60% bila wao hakuna bajeti ya nchi.
 
Kuteka watu ni kufuata sheria?

Kupiga wabunge risasi ni kufuata sheria ?

Kupora korosho za wakulima ni kufuata sheria ?

Kufungia vyombo vya habari ni kufuata sheria ?

CHADEMA ACHENI UNAFIKI. MNAZUNGUMZIA KUTEKWA BEN SAA NANE WAKATI MNAJUA WALIOMTEKA. KAMA MNATETEA HAKI MBONA HAMSEMI CHOCHOTE JUU YA WAFUASI WA CCM, VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA NA POLISI WALIOUAWA MKURANGA??? MNAZUNGUMZIA KILA SIKU BEN SAA NANE TU KWA KUPOTEA, JE, HAO WALIOUAWA SIO BINADAMU?? MNAJIFANYA HAMHUSIKI NA MATUKIO HAYO WAKATU TUNAJUA WALIOTEKA BEN SAA NA KUMPOTEZA NI NYIE.
RISASI ALIZOPIGWA LISSU MLIZIPANGA NYIE NDO MAANA MMEMPOTEZA KABISA DEREVA WA LISSU,
KOROSHO WAKULIMA WALIKWISHA LIPWA KWA BEI NZURI KULIKO BEI WALIOTAKA KUPEWA NA WAFANYA BIASHARA.
VYOMBO VYA HABARI VISIVYOFUATA WEREDI LAZIMA SHERIA ITUMIKE KUVIFUNGIA. SHERIA ZINATUNGWA ILI ZITUMIKE.
 
John hawezi kukwepa lawama za kuwateka akina Mo, Azory, Ben, Ney wa Mitego, Roma, Mdude na wengine wengi.
 
Binafsi Mimi nimeguswa katika nyanja kadhaa kwa uchache, Mimi ni mtumishi, kwanza sijaongezewa mshahara kwa miaka mitano.

Pili Mimi ni mnufaika wa HESLB enzi za Jakaya nilikuwa nakatwa 8% kwenye mshahara kiduchu nilionao kulipia deni hili lakini alipokuja Mh Pombe akaongeza mpaka 15% na muda huohuo mshahara haupandi na bei ya bidhaa inazidi kupanda.

Nilikuwa ninakibiashara changu cha mtaani,Alivyoingia huyu bwana mapato kibiashara kimekufa kabisa maana TRA na manispaa hawajaniachia kitu.

Mimi na mke wangu tutamchagua Lissu.
 
ATCL kina lissu ndio wanapanda kuzunguka Tanzania
Tren ya umeme watapanda wajasiriamali wanaochukua mzigo kariakoo na kurudi mkoani siku hiyo hiyo

Wewe endelea kula ugali wa shemeji
Hawajaanza kupanda bombadia, kabla ya hapo yalikuepo makampuni mengine

Mimi, shemeji, familia yake na nyumbani kwetu wote tumeamua kumchagua Lissu, ili baadae niweze kuja kujitegemea mwenyewe
 
Hilo sitasahau pale viunga vya village.

BGM.
Mzee mduanzi sana hakika 2020 hapataeleweka!
Huyu babu bonge la duanzi kazuia makapi ya makinikia wakati kila wiki ndege ziliijia pale pale plant matofali.ya dhahabu, babu kakurupuka kaishia kugharimu ajira za wafanyakazi elf2
 
John hawezi kukwepa lawama za kuwateka akina Mo, Azory, Ben, Ney wa Mitego, Roma, Mdude na wengine wengi.
Member wa campaign huyo chief, usipoteze muda wako kumwelimisha. New member September 2020
 
Nipo napambana mkuu, ila babu yenu siyo, kura yangu napeleka kwa lissu!
Unatishia kuondoa tone moja la maji baharini,ukidhani kwamba bahati itakauka?😂,mkuu sio wewe tu, yaani hata ukoo wenu wote ukipiga Kura kwa Lissu, bado Magufuli atabaki kuwa Rais wenu.
 
Back
Top Bottom