KIJITOSAMAKI
Member
- Sep 2, 2020
- 29
- 16
Labda Kwa bao la mkono, ila kwenye sanduku babu yenu hawezi mshinda Lissu!
Umeneemeka na Magufuli, acha sisi tulioumizwa tupambane.HATA LISSU ANAJUA KWA HAKIKA KUWA HAWEZI KUSHINDA UCHAGUZI HUU NA HAYUKO KWA AJILI YA KUSHINDA UCHAGUZI. YUPO KWA AJILI YA KUHAKIKISHA KUWA NCHI YETU INAINGIA MACHAFUKO ILI KUWAFURAHISHA MABEBERU WAKE AKINA JOSEPH PAUL TRIPPI (USA). LISSU ATAFURAHI SANA PAMOJA NA HAO AKINA TRIPPI AKIONA NCHI YETU INACHAFUKA. SIJUI KAMA KUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ATAFURAHI KUONA NDUGU ZAKE WANAINGIA KWENYE UMWAGAJI DAMU. LAKINI KWA NEEMA YA MUNGU HATAFANIKIWA KAMWE.
Sisi au wewe? Siwezi ipigia CCM kura hata kwa bunduki
Mbona deni limeongezeka mara mbili
HATA LISSU ANAJUA KWA HAKIKA KUWA HAWEZI KUSHINDA UCHAGUZI HUU NA HAYUKO KWA AJILI YA KUSHINDA UCHAGUZI. YUPO KWA AJILI YA KUHAKIKISHA KUWA NCHI YETU INAINGIA MACHAFUKO ILI KUWAFURAHISHA MABEBERU WAKE AKINA JOSEPH PAUL TRIPPI (USA). LISSU ATAFURAHI SANA PAMOJA NA HAO AKINA TRIPPI AKIONA NCHI YETU INACHAFUKA. SIJUI KAMA KUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ATAFURAHI KUONA NDUGU ZAKE WANAINGIA KWENYE UMWAGAJI DAMU. LAKINI KWA NEEMA YA MUNGU HATAFANIKIWA KAMWE.
Mbona deni limeongezeka mara mbili
Umeneemeka na Magufuli, acha sisi tulioumizwa tupambane.
lissu anatafutwa na watu wasiojulikana, na apo apo kuna wananchi wanamtafuta na mawe, si unajua dhambi ya usaliti enzi izo ni kupigwa mawe mpaka unakufa
Umesema kweri walizoea ujanjaujanja wamebinywa kidogo wanaanza kulialia waliwahi kusema wakati wa kikwete hii inchi ilipofikia inatakiwa ipate rais mkali mungu kawaida hujibu maombi akajibu kwa kuleta ankl mag, watulie dawa iwaingie sawasawa magu kaza tena miaka mitano tuheshimiane zaidi.Sisi Watanzania wazalendo tunafurahi uongozi wa Rais Magufuli
Wanaotumika na Mabeberu wamezibiwa mirija ndio hao wanalia
KILA ANAYEFANYA KAZI HALALI ATAKUWA AMENEEMEKA SANA. MAMBO MENGI YAMERAHISISHWA. LAKINI UKIKAA KWA MITINDO YA DILI UTAUMIA TU KWA VYOVYOTE. NCHI HAIWEZI KUJENGWA KWA KUCHEKEA WAHARIFU. KUTOWAJIBIKA SERIKALINI NI UHALIFU, KUTOLIPA KODI NI UHALIFU, KUFANYA MIPANGO YA DILI NI UHALIFU, UZEMBE WOWOTE WA KUTOHUDUMIA WATU NI UHALIFU. MAGUFULI AMEKOMESHA KWA KIASI KIKUBWA MAMBO HAYO. WALIOKUWA WANANUFAIKA NA UHALIFU WA NAMNA YOYOTE NDO WANALIA.Sio kweli, hawasemi tu, kila Mtanzania lazima ana hadithi yake, mpaka JK na familia yake
Kama sio roho mbaya unaunga mkono mtu katili?
Chuki imepandikizwa na Magufuli kwa kukodi viosi vya uhalifuKATILI NA MBOWE ALIYEKULA RUZUKU YOTE NA KUWAACHA WAGOMBEA HAWANA KITU. KATILI MKUBWA NI LISSU ANAYEPANDIKIZA CHUKI KWA WATANZANIA KISHA YEYE ASEPE.
Wengine wazee wetu miaka 5 sasa hawajapata pension zao.. ni hadithi tu kila siku. Matibabu yao kasheshe nyingine tena. Kwa walio na Bima ya afya, kuna limitations kibao za matibabu na vipimo.. dawa kibao nazo zimetolewa huko kwenye Bima. Nyumba zetu zimebomolewa.. Watanzania tunanuka shida tu kwa miaka hii yote ya Jiwe. Kwa kweli hatuwezi kumsahau. Mtu tulimshabikia 2015, tukijua tumepata kumbe tumepatikana.
Kura zetu zote sisi wanyonge safari hii ni kwa Lissu. Huyu ndiye atatusikiliza na kutufaa.
Tarehe 28 ifike jamani tumkabidhi Lissu nchi yake rasmi.. Tanzania sasa ni ya Tundu Lissu.
Hawa jamaa baada ya trh 28 wataanza kusema wameiibiwa kura hawachelewi.
CHADEMA ACHENI UNAFIKI. MNAZUNGUMZIA KUTEKWA BEN SAA NANE WAKATI MNAJUA WALIOMTEKA. KAMA MNATETEA HAKI MBONA HAMSEMI CHOCHOTE JUU YA WAFUASI WA CCM, VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA NA POLISI WALIOUAWA MKURANGA??? MNAZUNGUMZIA KILA SIKU BEN SAA NANE TU KWA KUPOTEA, JE, HAO WALIOUAWA SIO BINADAMU?? MNAJIFANYA HAMHUSIKI NA MATUKIO HAYO WAKATU TUNAJUA WALIOTEKA BEN SAA NA KUMPOTEZA NI NYIE.
RISASI ALIZOPIGWA LISSU MLIZIPANGA NYIE NDO MAANA MMEMPOTEZA KABISA DEREVA WA LISSU,
KOROSHO WAKULIMA WALIKWISHA LIPWA KWA BEI NZURI KULIKO BEI WALIOTAKA KUPEWA NA WAFANYA BIASHARA.
VYOMBO VYA HABARI VISIVYOFUATA WEREDI LAZIMA SHERIA ITUMIKE KUVIFUNGIA. SHERIA ZINATUNGWA ILI ZITUMIKE.
MAADUI WA LISSU AMEWAONGEZA YEYE KWA KAULI ZAKE ZA UKOSEFU WA STAHA, UKOSEFU WA UZALENDO WA KWELI, UKOSOAJI WA UONGO MKUBWA. KUKOSOA NI HAKI YAKE LAKINI ASEME UKWELI NA SIO KUFINYANGA UONGO MKUBWA NA KUWAAMBIA WANANCHI. LISSU HANA HAJA NA TANZANIA, NA WATANZANIA HAWAWEZI KUWA NA HAJA NAYE.
Hahahaaa...... Tundu Lissu alishasema hakuna aliye salama akasema zaidi kua hata kinana na makamba hawako salama na hakuna aliyekanusha😄😄😄😄Mkuu, kama unaukaribu nao, ukikaa nao vema, wanazo hadithi zao katika miaka hii mitano.