Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Katika miaka hii mitano kila Mtanzania awe ni tajiri au maskini ana hadithi yake ya maumivu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Katika miaka hii mitano kila Mtanzania awe ni tajiri au maskini ana hadithi yake ya maumivu

Labda Kwa bao la mkono, ila kwenye sanduku babu yenu hawezi mshinda Lissu!

HATA LISSU ANAJUA KWA HAKIKA KUWA HAWEZI KUSHINDA UCHAGUZI HUU NA HAYUKO KWA AJILI YA KUSHINDA UCHAGUZI. YUPO KWA AJILI YA KUHAKIKISHA KUWA NCHI YETU INAINGIA MACHAFUKO ILI KUWAFURAHISHA MABEBERU WAKE AKINA JOSEPH PAUL TRIPPI (USA). LISSU ATAFURAHI SANA PAMOJA NA HAO AKINA TRIPPI AKIONA NCHI YETU INACHAFUKA. SIJUI KAMA KUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ATAFURAHI KUONA NDUGU ZAKE WANAINGIA KWENYE UMWAGAJI DAMU. LAKINI KWA NEEMA YA MUNGU HATAFANIKIWA KAMWE.
 
Umeneemeka na Magufuli, acha sisi tulioumizwa tupambane.
 
lissu anatafutwa na watu wasiojulikana, na apo apo kuna wananchi wanamtafuta na mawe, si unajua dhambi ya usaliti enzi izo ni kupigwa mawe mpaka unakufa
 
Mbona deni limeongezeka mara mbili

Deni la taifa ni sehem ya uchumi kukua, just like any other developed nation wenye madeni! and infact kama tusingekua na madeni kungekua hakuna tsh, tatizo wana chadema shule hawajaenda! unakuta mtu anacheka SGR !! WTF
 
Umeneemeka na Magufuli, acha sisi tulioumizwa tupambane.

PAMBANA KWA HAKI NA KWA UUNGWANA. SIO KWA STAHILI ZENU. KILA MTU ANATAKA MAENDELEO LAKINI MAENDELEO HAYAWEZI KUWA YA HAKI KWA KUCHOCHEA VURUGU. HATA NYIE MNAOCHOCHEA VURUGU MTAJIKUTA HATUA MIA MOJA NYUMA KULIKO HIVI SASA. KWANI LIBYA KULITOKEA NINI? WALIOCHOCHEA VURUGU LIBYA WAKO ULAYA WANAKULA BATA. WALIBYA WANATAABIKA KULIKO WAKATI WOWOTE KATIKA MAISHA YAO.
 
lissu anatafutwa na watu wasiojulikana, na apo apo kuna wananchi wanamtafuta na mawe, si unajua dhambi ya usaliti enzi izo ni kupigwa mawe mpaka unakufa

MAADUI WA LISSU AMEWAONGEZA YEYE KWA KAULI ZAKE ZA UKOSEFU WA STAHA, UKOSEFU WA UZALENDO WA KWELI, UKOSOAJI WA UONGO MKUBWA. KUKOSOA NI HAKI YAKE LAKINI ASEME UKWELI NA SIO KUFINYANGA UONGO MKUBWA NA KUWAAMBIA WANANCHI. LISSU HANA HAJA NA TANZANIA, NA WATANZANIA HAWAWEZI KUWA NA HAJA NAYE.
 
Sisi Watanzania wazalendo tunafurahi uongozi wa Rais Magufuli

Wanaotumika na Mabeberu wamezibiwa mirija ndio hao wanalia
Umesema kweri walizoea ujanjaujanja wamebinywa kidogo wanaanza kulialia waliwahi kusema wakati wa kikwete hii inchi ilipofikia inatakiwa ipate rais mkali mungu kawaida hujibu maombi akajibu kwa kuleta ankl mag, watulie dawa iwaingie sawasawa magu kaza tena miaka mitano tuheshimiane zaidi.
 
Sio kweli, hawasemi tu, kila Mtanzania lazima ana hadithi yake, mpaka JK na familia yake
KILA ANAYEFANYA KAZI HALALI ATAKUWA AMENEEMEKA SANA. MAMBO MENGI YAMERAHISISHWA. LAKINI UKIKAA KWA MITINDO YA DILI UTAUMIA TU KWA VYOVYOTE. NCHI HAIWEZI KUJENGWA KWA KUCHEKEA WAHARIFU. KUTOWAJIBIKA SERIKALINI NI UHALIFU, KUTOLIPA KODI NI UHALIFU, KUFANYA MIPANGO YA DILI NI UHALIFU, UZEMBE WOWOTE WA KUTOHUDUMIA WATU NI UHALIFU. MAGUFULI AMEKOMESHA KWA KIASI KIKUBWA MAMBO HAYO. WALIOKUWA WANANUFAIKA NA UHALIFU WA NAMNA YOYOTE NDO WANALIA.
 
KATILI NA MBOWE ALIYEKULA RUZUKU YOTE NA KUWAACHA WAGOMBEA HAWANA KITU. KATILI MKUBWA NI LISSU ANAYEPANDIKIZA CHUKI KWA WATANZANIA KISHA YEYE ASEPE.
Chuki imepandikizwa na Magufuli kwa kukodi viosi vya uhalifu
 
Wengine wazee wetu miaka 5 sasa hawajapata pension zao.. ni hadithi tu kila siku. Matibabu yao kasheshe nyingine tena. Kwa walio na Bima ya afya, kuna limitations kibao za matibabu na vipimo.. dawa kibao nazo zimetolewa huko kwenye Bima. Nyumba zetu zimebomolewa.. Watanzania tunanuka shida tu kwa miaka hii yote ya Jiwe. Kwa kweli hatuwezi kumsahau. Mtu tulimshabikia 2015, tukijua tumepata kumbe tumepatikana.

Kura zetu zote sisi wanyonge safari hii ni kwa Lissu. Huyu ndiye atatusikiliza na kutufaa.

HAKUNA CHOCHOTE KUTOKA KWA LISSU LABDA VURUGU TU. HATA YEYE ANAJUA HAWEZI KUSHINDA UCHAGUZI. HATA WEWE UKIMPIGIA KURA UNAHARIBU KURA YAKO TU SABABU NI UWAZI KWAMBA HAWEZI KUSHINDA.
 
Tarehe 28 ifike jamani tumkabidhi Lissu nchi yake rasmi.. Tanzania sasa ni ya Tundu Lissu.

HAWEZI KUPEWA NCHI MSALITI. KAMA CHADEMA HAIKUSHINDA 2015 BAS TENA. SAHAU KABISA MWAKA HUU NA MIAKA IJAYO. BAADA YA UCHAGUZI CHADEMA ITAKUWA IMEKUFA MAANA LISSU ANAIUA KWA KASI SANA. WATANZANIA WATAIKIMBIA CHADEMA. MBOWE ATAMFUKUZA LISSU.
 
Mi nachoshauri,tumwache jpm,amalize hii miaka 5 ijayo,
 
Hawa jamaa baada ya trh 28 wataanza kusema wameiibiwa kura hawachelewi.
 
Hawa jamaa baada ya trh 28 wataanza kusema wameiibiwa kura hawachelewi.

KIONGOZI TUMESHAWAZOEA CHADEMA KWA UONGO WAO. HIYO ISIKUPE SHIDA. KUSEMA UONGO NI JADI YAO. KUBADILISHA MANENO NDO SALA YAO. WAKUBALI WASIKUBALI JPM ATASHINDA NA KUENDELEA KUONGOZA TAIFA.
 
CHADEMA ACHENI UNAFIKI. MNAZUNGUMZIA KUTEKWA BEN SAA NANE WAKATI MNAJUA WALIOMTEKA. KAMA MNATETEA HAKI MBONA HAMSEMI CHOCHOTE JUU YA WAFUASI WA CCM, VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA NA POLISI WALIOUAWA MKURANGA??? MNAZUNGUMZIA KILA SIKU BEN SAA NANE TU KWA KUPOTEA, JE, HAO WALIOUAWA SIO BINADAMU?? MNAJIFANYA HAMHUSIKI NA MATUKIO HAYO WAKATU TUNAJUA WALIOTEKA BEN SAA NA KUMPOTEZA NI NYIE.
RISASI ALIZOPIGWA LISSU MLIZIPANGA NYIE NDO MAANA MMEMPOTEZA KABISA DEREVA WA LISSU,
KOROSHO WAKULIMA WALIKWISHA LIPWA KWA BEI NZURI KULIKO BEI WALIOTAKA KUPEWA NA WAFANYA BIASHARA.
VYOMBO VYA HABARI VISIVYOFUATA WEREDI LAZIMA SHERIA ITUMIKE KUVIFUNGIA. SHERIA ZINATUNGWA ILI ZITUMIKE.

Toka mwenyekiti apunguze posho kwa UVCCM, vijana wote wenye akili CCM wameondoka mmebaki vilaza na wafia matumbo kama nyie ambao mnaandika WEREDI badala ya WELEDI. Na bado polepole atawanyoosha tu, na sasaiv wanampango wa kuipunguza hiyo buku7 sijui mtaendesha vipi maisha yenu.
 
MAADUI WA LISSU AMEWAONGEZA YEYE KWA KAULI ZAKE ZA UKOSEFU WA STAHA, UKOSEFU WA UZALENDO WA KWELI, UKOSOAJI WA UONGO MKUBWA. KUKOSOA NI HAKI YAKE LAKINI ASEME UKWELI NA SIO KUFINYANGA UONGO MKUBWA NA KUWAAMBIA WANANCHI. LISSU HANA HAJA NA TANZANIA, NA WATANZANIA HAWAWEZI KUWA NA HAJA NAYE.

nadhan baada ya kampeni watu wasiojulikana watamalizia kazi yao walipoishia
 
Mkuu, kama unaukaribu nao, ukikaa nao vema, wanazo hadithi zao katika miaka hii mitano.
Hahahaaa...... Tundu Lissu alishasema hakuna aliye salama akasema zaidi kua hata kinana na makamba hawako salama na hakuna aliyekanusha😄😄😄😄

Tundu Lissu kaendelea kutukumbusha zaidi aliposema kila mmoja ana September 7 yake😲😲
 
Back
Top Bottom