Hahahaaa...... Tundu Lissu alishasema hakuna aliye salama akasema zaidi kua hata kinana na makamba hawako salama na hakuna aliyekanusha😄😄😄😄Sio kweli, hawasemi tu, kila Mtanzania lazima ana hadithi yake, mpaka JK na familia yake
Hahahaaa...... Tundu Lissu alishasema hakuna aliye salama akasema zaidi kua hata kinana na makamba hawako salama na hakuna aliyekanusha😄😄😄😄Wale walioko karibu na dikiteta tu
Una uzalendo gani wewe zaidi ya kujipendekeza na kuchumia tumbo?Sisi Watanzania wazalendo tunafurahi uongozi wa Rais Magufuli
Wanaotumika na Mabeberu wamezibiwa mirija ndio hao wanalia
Kichaka Cha wapiga dili kimeficha mengi,hata Sasa m.kiti anawatafuta washauri wabaya walipo.Sisi Watanzania wazalendo tunafurahi uongozi wa Rais Magufuli
Wanaotumika na Mabeberu wamezibiwa mirija ndio hao wanalia
Kinana na Makamba we acha tu walichokipata hadi wanakufa hawatasahau. Kweli kinana niwa kupigia magoti mshamba??Hahahaaa...... Tundu Lissu alishasema hakuna aliye salama akasema zaidi kua hata kinana na makamba hawako salama na hakuna aliyekanusha😄😄😄😄
Tundu Lissu kaendelea kutukumbusha zaidi aliposema kila mmoja ana September 7 yake😲😲
Mmepumbazwa mpaka mkapumbazikaDeni la taifa ni sehem ya uchumi kukua, just like any other developed nation wenye madeni! and infact kama tusingekua na madeni kungekua hakuna tsh, tatizo wana chadema shule hawajaenda! unakuta mtu anacheka SGR !! WTF
Source ya information yako ni ipi .? Unaposema deni kubwa unamaanisha ukubwa wa namba au una compare na uchumi wa nchi husika .? Deni likiwa linapanda na uchumi wako pale au unazidi kushuka manake nini .?HATA MAREKANI INA MADENI MAKUBWA KULIKO NCHI YOYOTE DUNIANI. LAKINI NI NCHI YENYE UCHUMI MKUBWA KULIKO NCHI ZOTE DUNIANI
nadhan baada ya kampeni watu wasiojulikana watamalizia kazi yao walipoishia
Kuna sehemu ameyasema hayo.?NDUGU YANGU HAKUNA MTU ANAMTAKIA LISSU KIFO. LISSU NI MTANZANIA KAMA WATANZANIA WENGINE. ANASTAHILI KUISHI NA KUTUNZA FAMILIA YAKE KAMA WATU WENGINE. LAKINI LISSU MWENYEWE ANATAKA NCHI ICHAFUKE, WATU WAUANE. HII NI AKILI TUSIYOITAKA. KAMA YEYE ANATAKIA HAYO WANANCHI, BASI NA YEYE AJUE WATU WENGINE HAWATAKUBALI NCHI IVURUGIKE. ATATANGULIA YEYE KWANZA. TANZANIA LAZIMA IBAKI SALAMA, WANANCHI LAZIMA WABAKI SALAMA
Tangu nimeanza kumsikiliza Tundu sijaambulia jipya lolote kwa ustawi wa nchi yetu.
Hotuba zake zimejaa tuhuma, majigambo, dharau na upotoshaji zaidi. Najiuliza inakuaje yeye kama mgombea urais anarukaruka tuu badala ya kutoa suluhu la mahitaji ya watanzania kuna lolote chama chake kinaweza kuifanyia Tanzania?
Watanzania wanacho wanachokitaka na vile Tundu hawajui anaishia kuwapa anachokitaka yeye na matokeo atayapata October 28, 2020
Ifike mahala watanzania tuweke maslahi ya taifa mbele na kuacha ubinafsi....
Niliwekeza hela nyingi kwenye korosha, imepoteaWapwa
Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche
Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo kufuta machozi mengi ya wana Ifakara na Tanzania nzima.
Je wewe hadithi yako ni ipi.?
Haki huinua Taifa.
Katiba mpya dogo, hayo mengine Ni atomaticTangu nimeanza kumsikiliza Tundu sijaambulia jipya lolote kwa ustawi wa nchi yetu.
Hotuba zake zimejaa tuhuma, majigambo, dharau na upotoshaji zaidi. Najiuliza inakuaje yeye kama mgombea urais anarukaruka tuu badala ya kutoa suluhu la mahitaji ya watanzania kuna lolote chama chake kinaweza kuifanyia Tanzania?
Watanzania wanacho wanachokitaka na vile Tundu hawajui anaishia kuwapa anachokitaka yeye na matokeo atayapata October 28, 2020
Ifike mahala watanzania tuweke maslahi ya taifa mbele na kuacha ubinafsi....
Mmepumbazwa mpaka mkapumbazika
MAADUI WA LISSU AMEWAONGEZA YEYE KWA KAULI ZAKE ZA UKOSEFU WA STAHA, UKOSEFU WA UZALENDO WA KWELI, UKOSOAJI WA UONGO MKUBWA. KUKOSOA NI HAKI YAKE LAKINI ASEME UKWELI NA SIO KUFINYANGA UONGO MKUBWA NA KUWAAMBIA WANANCHI. LISSU HANA HAJA NA TANZANIA, NA WATANZANIA HAWAWEZI KUWA NA HAJA NAYE.
it seems economics kwako 0, lakini viongozi wengi wa chamdema hawajaenda shule, sasa ndo wanaowachukua
Economic ipi ambayo unaizungumzia, hii ya ndege na viwanja chato.? au wizi wa korosho za watanzania.
Sijaenda shule kweli, ila mimi na wenzangu wote ambao hatujaenda shule tumeona wizi na ubadhilifu mnaofanya na tumeamua kuchagua sera mbadala
Sisi Watanzania wazalendo tunafurahi uongozi wa Rais Magufuli
Wanaotumika na Mabeberu wamezibiwa mirija ndio hao wanalia