Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Katika miaka hii mitano kila Mtanzania awe ni tajiri au maskini ana hadithi yake ya maumivu

Sio kweli, hawasemi tu, kila Mtanzania lazima ana hadithi yake, mpaka JK na familia yake
Hahahaaa...... Tundu Lissu alishasema hakuna aliye salama akasema zaidi kua hata kinana na makamba hawako salama na hakuna aliyekanusha😄😄😄😄

Tundu Lissu kaendelea kutukumbusha zaidi aliposema kila mmoja ana September 7 yake😲😲
 
Wale walioko karibu na dikiteta tu

Kinana na Makamba we acha tu walichokipata hadi wanakufa hawatasahau. Kweli kinana niwa kupigia magoti mshamba??
 
Deni la taifa ni sehem ya uchumi kukua, just like any other developed nation wenye madeni! and infact kama tusingekua na madeni kungekua hakuna tsh, tatizo wana chadema shule hawajaenda! unakuta mtu anacheka SGR !! WTF
Mmepumbazwa mpaka mkapumbazika
 
HATA MAREKANI INA MADENI MAKUBWA KULIKO NCHI YOYOTE DUNIANI. LAKINI NI NCHI YENYE UCHUMI MKUBWA KULIKO NCHI ZOTE DUNIANI
Source ya information yako ni ipi .? Unaposema deni kubwa unamaanisha ukubwa wa namba au una compare na uchumi wa nchi husika .? Deni likiwa linapanda na uchumi wako pale au unazidi kushuka manake nini .?
 
nadhan baada ya kampeni watu wasiojulikana watamalizia kazi yao walipoishia

NDUGU YANGU HAKUNA MTU ANAMTAKIA LISSU KIFO. LISSU NI MTANZANIA KAMA WATANZANIA WENGINE. ANASTAHILI KUISHI NA KUTUNZA FAMILIA YAKE KAMA WATU WENGINE. LAKINI LISSU MWENYEWE ANATAKA NCHI ICHAFUKE, WATU WAUANE. HII NI AKILI TUSIYOITAKA. KAMA YEYE ANATAKIA HAYO WANANCHI, BASI NA YEYE AJUE WATU WENGINE HAWATAKUBALI NCHI IVURUGIKE. ATATANGULIA YEYE KWANZA. TANZANIA LAZIMA IBAKI SALAMA, WANANCHI LAZIMA WABAKI SALAMA
 
Kuna sehemu ameyasema hayo.?
 
Tangu nimeanza kumsikiliza Tundu sijaambulia jipya lolote kwa ustawi wa nchi yetu.
Hotuba zake zimejaa tuhuma, majigambo, dharau na upotoshaji zaidi. Najiuliza inakuaje yeye kama mgombea urais anarukaruka tuu badala ya kutoa suluhu la mahitaji ya watanzania kuna lolote chama chake kinaweza kuifanyia Tanzania?
Watanzania wanacho wanachokitaka na vile Tundu hawajui anaishia kuwapa anachokitaka yeye na matokeo atayapata October 28, 2020

Ifike mahala watanzania tuweke maslahi ya taifa mbele na kuacha ubinafsi....
 
Unasikia unachotaka kusikia, akili ya binadamu ndio iko namna hiyo, akili yako wewe ishaamua kusikia hayo uliyoyataja na wengine wengi tumesikia hoja, ahadi pamoja na mengi mazuri kutoka kwa Lissu.

Hata wanaomsikiliza Rungwe kuna ambao wanasikia UBWABWA na kuna wengine tunasikia mengine tunayotaka kusikia.

Wakati wewe unayasikia hayo unayosema tuhuma, majigambo, dharau na upotoshaji na wengine hayo hayo ndo wanayoyasikia kila siku kutoka CCM kwa zaidi ya miaka 40, na ndio sababu hata wenzako wa CCM wameamua kuweka maslahi mbele, kuacha ubinafsi na kuchagua sera mbadala
 
Wapwa
Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche

Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo kufuta machozi mengi ya wana Ifakara na Tanzania nzima.

Je wewe hadithi yako ni ipi.?

Haki huinua Taifa.
Niliwekeza hela nyingi kwenye korosha, imepotea
 
Tangu nimeanza kumsikiliza Tundu sijaambulia jipya lolote kwa ustawi wa nchi yetu.
Hotuba zake zimejaa tuhuma, majigambo, dharau na upotoshaji zaidi. Najiuliza inakuaje yeye kama mgombea urais anarukaruka tuu badala ya kutoa suluhu la mahitaji ya watanzania kuna lolote chama chake kinaweza kuifanyia Tanzania?
Watanzania wanacho wanachokitaka na vile Tundu hawajui anaishia kuwapa anachokitaka yeye na matokeo atayapata October 28, 2020

Ifike mahala watanzania tuweke maslahi ya taifa mbele na kuacha ubinafsi....
Katiba mpya dogo, hayo mengine Ni atomatic
 
MAADUI WA LISSU AMEWAONGEZA YEYE KWA KAULI ZAKE ZA UKOSEFU WA STAHA, UKOSEFU WA UZALENDO WA KWELI, UKOSOAJI WA UONGO MKUBWA. KUKOSOA NI HAKI YAKE LAKINI ASEME UKWELI NA SIO KUFINYANGA UONGO MKUBWA NA KUWAAMBIA WANANCHI. LISSU HANA HAJA NA TANZANIA, NA WATANZANIA HAWAWEZI KUWA NA HAJA NAYE.

Ifakara, Morogoro
Tanzania

Bila kujali vyama waTanzania waahidi kumpatia uongozi wa nchi Tundu Antipas Lissu mwezi Oktoba 2020 ili Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu yapatikane Tanzania
 
it seems economics kwako 0, lakini viongozi wengi wa chamdema hawajaenda shule, sasa ndo wanaowachukua

Economic ipi ambayo unaizungumzia, hii ya ndege na viwanja chato.? au wizi wa korosho za watanzania.
Sijaenda shule kweli, ila mimi na wenzangu wote ambao hatujaenda shule tumeona wizi na ubadhilifu mnaofanya na tumeamua kuchagua sera mbadala
 
kuongea na nyie ni kupoteza mda tu maaana hakuna cha maaana mtaongea, economics hamjui kazi yenu matusi! madhara yake unaona sasa mgombea wenu kaenda moshi anabaki kukoswa na mawe, apo bado wale wasiojulikana hawajamuweka kona
 
Nyamagana, Mwanza
Tanzania

Haki za Msingi za mTanzania zaongelewa yaani Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu

Sisi Watanzania wazalendo tunafurahi uongozi wa Rais Magufuli

Wanaotumika na Mabeberu wamezibiwa mirija ndio hao wanalia
6.png

BEBERU HI HAPA
 
Back
Top Bottom