ighaghe
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,286
- 3,203
Sheria zetu hazina likizo. Kwann baada ya October?Hujui ana kesi mahakamani? Subiri baada ya October msije kumkimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria zetu hazina likizo. Kwann baada ya October?Hujui ana kesi mahakamani? Subiri baada ya October msije kumkimbia
Umeonyesha udhaifu wa akili hapa. Nakumbuka muswada wa Gas na petroleum . Mpaka kina Lissu na wapinzani kwa ujumla wao walitoka nje ya bunge usiku wa manane ili usipitishwe kwa hati dharura. Nini kilitokea ulipitishwa na Leo Mzee analalamika kuwa Gas na petroli si yetu !!.Hujui kina lissu ndio Wasaliti wa Nchi? Wanatumiwa na Mabeberu kuiba raslimali zetu
Unaweza kutaja kesi namba inayomkabili lisu pamoja na mwaka wa hiyo kesi inayohusu usaliti?Hujui ana kesi mahakamani? Subiri baada ya October msije kumkimbia
Mtamla nyama ?!. Hasidi kama nyoka nyie, nyoka anaua mtu na hawezi kumlaHujui ana kesi mahakamani? Subiri baada ya October msije kumkimbia
Mabeberu ndio wale wanaume .?Hujui kina lissu ndio Wasaliti wa Nchi? Wanatumiwa na Mabeberu kuiba raslimali zetu
😅😅 mwenyewe unashindwa kutetea unachoteteaMIGA
Kwenye sheria hamumuwezi Lissu nyie .Sheria itachukua mkondo wake
Ugwiji wa sheria ndiyo umemfikisha Lissu hapo alipo. Wewe piga debe lakini huwezi kumfikia . Kumchukia mwenye uwezo wake siyo kumfikia [emoji23][emoji1787]Lissu hajui sheria kuongea kwa sauti ya juu mahakamani na kuropoka sio kuwa gwiji wa sheria
Majibu yote ni sahihi, kwa aliyofanya Rais Magufuli, Tanzania kuwa km ulaya ndani ya muda mfupi ni kitu cha kawaida tu
Mkuu mabeberu unamaanisha wale wazungu waliohaidi kuwapa mkopo wa mamilioni ya dola baada ya kukubaliana na masharti yao mkashangilia km zile hela mliokota, au tayari mshapewa hizo helaa?!!Sisi Watanzania wazalendo tunafurahi uongozi wa Rais Magufuli
Wanaotumika na Mabeberu wamezibiwa mirija ndio hao wanalia
Bado najaribu kuwaza hivi J.P.M atawambia nini watu wa Kilombero akija kwenye kuomba kura ikiwa alitoa ahadi mwaka 2016 kuwa atahakikisha barabara ya Mkamba-Ifakara inajengwa kwa kiwango cha lami. Lakini tokea 2016 mpaka leo bado hata harufu ya lami lami hakuna. Barabara ya kipande kifupi imemchukua miaka zaidi ya mitatu kuikamilishaWapwa
Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche
Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo kufuta machozi mengi ya wana ifakara na Tanzania nzima.
Je wewe hadithi yako ni ipi.?
Haki huinua Taifa.
Maumivu yangu ni kuongezewa asilimia ya makato bodi ya mikopo elimu ya juu.Tumefanyiwa ukatili sanaWapwa
Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche
Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo kufuta machozi mengi ya wana ifakara na Tanzania nzima.
Je wewe hadithi yako ni ipi.?
Haki huinua Taifa.
Hatujalipwa pesa za korosho huku Lindi,mimi mkulima natumikia beberu?wewe jike au beberu?Sisi Watanzania wazalendo tunafurahi uongozi wa Rais Magufuli
Wanaotumika na Mabeberu wamezibiwa mirija ndio hao wanalia
Sijalipwa pesaRais Magufuli amelipa pesa zote za korosho, wewe utakuwa kangomba jela inakuita
Huu ndio uongo anaowadanganya. alipe pesa zote si nchi ingesimama siku iyoRais Magufuli amelipa pesa zote za korosho, wewe utakuwa kangomba jela inakuita
Hayo ni mambo madogo kwa Rais Magufuli
Duu yani korosho ndio kushikwa pabaya?