Pre GE2025 Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Samahani mgonjwa. Naamini sasa malaria imepanda kichwani, lakini je huwezi kusubiria akamaliza hotuba ndo ukaanzisha thread yako Mkuu?? Samahani lakini...
 
Tundu Lissu amesema hayo baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA tokea achaguliwe kuwa mwenyekiti wa Chama hicho.

Tundu Lissu amesema kuwa tuna uchaguzi Mkuu Oktoba, na tuna No Reform No Election. Hayo mambo mawili hayaendi pamoja, kiswahili chake ni Hakuna Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi. Siyo hatutasusia Uchaguzi.

Hatujazungumza Boycott, hakuna uchaguzi. Tuone tutawezaje kwenda nayo mbele, either kwa pamoja kama inawezekana au tuamue lipi muhimu zaidi. Tunaenda kujifungia ili tuijadili hii na chama, haitakuwa ni uamuzi wa Tundu Lissu, itakuwa ni uamuzi wa chama.

Inabidi tuzungumze lugha pekee anayoweza kuzungumza Rais Samia, na ataizungumza kwasababu nani anayetaka uchaguzi kama wa mwaka jana(Serikali za Mitaa - 2024), Uchaguzi wa 2020, uchaguzi wa 2019? No reform No Election. Na Tutazungumza lugha ambayo Samia ataielewa, na tutazungumza hii habari na kila mtu mchana kweupe, hatuna chochote cha kuficha, hatuna ajenda ya siri.
Katika mahojiano ya juzi alisema ataingiza wananchi barabarani kuzuia uchaguzi
 
Ni kweli samia amepuuza mapendekezo ya kuandika katiba mpya.

Katiba mpya itaandikwa mwakani wakati Tanzania ikiwa chini ya utawala wa chadema maana uchaguzi Oktoba 2025 chadema inaenda kushinda na kuingia ikulu rasmi.
Mshabadilishwa akili
 
Tundu Lissu amesema hayo baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA tokea achaguliwe kuwa mwenyekiti wa Chama hicho.

Tundu Lissu amesema kuwa tuna uchaguzi Mkuu Oktoba, na tuna No Reform No Election. Hayo mambo mawili hayaendi pamoja, kiswahili chake ni Hakuna Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi. Siyo hatutasusia Uchaguzi.

Hatujazungumza Boycott, hakuna uchaguzi. Tuone tutawezaje kwenda nayo mbele, either kwa pamoja kama inawezekana au tuamue lipi muhimu zaidi. Tunaenda kujifungia ili tuijadili hii na chama, haitakuwa ni uamuzi wa Tundu Lissu, itakuwa ni uamuzi wa chama.

Inabidi tuzungumze lugha pekee anayoweza kuzungumza Rais Samia, na ataizungumza kwasababu nani anayetaka uchaguzi kama wa mwaka jana(Serikali za Mitaa - 2024), Uchaguzi wa 2020, uchaguzi wa 2019? No reform No Election. Na Tutazungumza lugha ambayo Samia ataielewa, na tutazungumza hii habari na kila mtu mchana kweupe, hatuna chochote cha kuficha, hatuna ajenda ya siri.
Mpeni heshima yake bwana
“ Mwenyekiti wa CHADEMA…..”
“Mwanasheria” “Mheshimiwa”
“Mbunge mstaafu” and so on.

Mbona Manabii mnawapa heshima 🤭”Nabii Mkuu”

Likiwa Plain halikai poa 😝
 
Amesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Mitaahira ya CCM imejawa majungu, umbea na mkishindwa kabisa kuelewa
 
Ni kweli samia amepuuza mapendekezo ya kuandika katiba mpya.

Katiba mpya itaandikwa mwakani wakati Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Chadema maana uchaguzi Oktoba 2025 Chadema inaenda kushinda na kuingia ikulu rasmi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Amesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Amekuambia hivyo? Lini Ccm ilijieleza kama msimamo wa chama? Kuna siku Ccm ilikua serius na mambo ya maana?
 
Ukiwa kiongozi mkuu wa chama, hasa hasa chama kikuu kama cha chadema nchini, busara zinahitajika sana, ni rahisi watu kukuona kama hutimizi wajivu wako lakini lile ni kama jipu shingoni linahitaji umakini na busara unapolitumbua otherwise unaweza haribu kila kitu .
 
Amesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Wewe si mpenda Amani kabisa..kumbuka hii ni nchi yetu ..si nchi yako!
Chedema watakaa vikao kama alivyotamka TAL..then tutapata majibu yao.
 
Back
Top Bottom