Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa na msimamo huu hata kabla ya Mbowe kupigwa chini?Hili jamaa Tapeli sana!! Mi nasikiaga hata kinyaa kumsikiliza….
Kasisitiza hakuna reform, hakuna uchaguzi.Akipuyanga kwenye no reforms no election hakuna mtu atakayemchukulia serious tena!.
Ndimi mbili hazijawahi kumuacha mtu salama!.
Hapa lugha ni moja tu.
NO REFORMS NO ELECTION!
Wewe punguani mnafiki, ukisema unamkubali mtu yeyote, huyo naye ni lazima awe amepungukiwa kichwani kama wewe.Hili jamaa Tapeli sana!! Mi nasikiaga hata kinyaa kumsikiliza….
Kasisitiza hakuna reform, hakuna uchaguzi.
Anaposema wataongea lugha Samia atayoilewa, anamanisha watafanya kile ambacho wakikifanya, serikali itaona umuhimu wa kuwasilikiza.
Akili yako ndogo sana huwezi kumwelewa lisuAmesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Mtu yeyote mwenye akili timamu, lazima anabadilika kutoka na hali ya mazingira ya wakati husika.Hivi kwaakili yako uliamini Lissu anaweza fanya tofauti na alichofanya Mbowe?? Shida watanzania ni wajinga na wavivu sana kufwatilia vitu….
Nilikua namsikiliza sana Lissu kipindi kile cha maridhiano namna alivyokua akitetea ku compromise na wakati Samia kaalikwa kwenye mkutano wa BAWACHA alisifia akisema Rais anatembea na jukwaa kubwa ghafla akabadilika na kupondea vibaya sana hiki ndo kisa cha kumdharau vibaya mno huyo jamaa.
Wewe akili yako imeshaliwa na malaria No. 2 kama lilivyo jina lako...Amesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Nimemdharau Lissu muda mrefu sana.Ulikuwa na msimamo huu hata kabla ya Mbowe kupigwa chini?
Wewe punguani mnafiki, ukisema unamkubali mtu yeyote, huyo naye ni lazima awe amepungukiwa kichwani kama wewe.
Kwa mwenye akili, ukisikia punguani mnafiki anakup3nda, lazima utachukia, maana ni sawa upendwe na nzi.
Ninyi mapunguani wanafiki mkisema mnamchukia mtu mwenye akili kubwa, ni jambo la heri sana.
Kwani mtu hawezi kuanza vizuri na akamaliza vibaya.Hivi kwaakili yako uliamini Lissu anaweza fanya tofauti na alichofanya Mbowe?? Shida watanzania ni wajinga na wavivu sana kufwatilia vitu….
Nilikua namsikiliza sana Lissu kipindi kile cha maridhiano namna alivyokua akitetea ku compromise na wakati Samia kaalikwa kwenye mkutano wa BAWACHA alisifia akisema Rais anatembea na jukwaa kubwa ghafla akabadilika na kupondea vibaya sana hiki ndo kisa cha kumdharau vibaya mno huyo jamaa.
Sasa hapo imekaa sawasawa!Kasisitiza hakuna reform, hakuna uchaguzi.
Anaposema wataongea lugha Samia atayoilewa, anamanisha watafanya kile ambacho wakikifanya, serikali itaona umuhimu wa kuwasilikiza.
Wewe sheikh hujapona malaria au imepanda kichwani?Amesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Wewe chawa wa Mwanamama samia utawezaje kuwa na akili wakati unafikiria kumsifu, kumpongeza mama yako mama Abdul?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nyumbu wanachezeshwa shere tuu
Utakuwa kwenye siku zako huwezi kuelewa ila wenye akili timamu tumemuelewa. Ukimaliza period msikilize tena utamuelewayaani ukipenda chongo utaona kengeza ,chadema mnafanywa mataahira kwa kiwangoi cha juu sana yaani hapo umemuelewa lissu na huo ujinga anausema? kasoma akili zenu manyumbu wa chadema na kasikiliza upepo unavyoenda kuwa watamuona hana akili akisusia uchaguzi kaamua aje na tafsiri ya kipuuzi kama hiyo nayie mmeingia kingi bado mnakazi ndefu sana ya kuja kushika dola labda mjaribu mwaka 2060
Asante sana Tundu Lissu kwa uamuzi huu muhimu wa kulitetea taifa la Tanganyika na watu wake.Tundu Lissu amesema hayo baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA tokea achaguliwe kuwa mwenyekiti wa Chama hicho.
Tundu Lissu amesema kuwa tuna uchaguzi Mkuu Oktoba, na tuna No Reform No Election. Hayo mambo mawili hayaendi pamoja, kiswahili chake ni Hakuna Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi. Siyo hatutasusia Uchaguzi.
Hatujazungumza Boycott, hakuna uchaguzi. Tuone tutawezaje kwenda nayo mbele, either kwa pamoja kama inawezekana au tuamue lipi muhimu zaidi. Tunaenda kujifungia ili tuijadili hii na chama, haitakuwa ni uamuzi wa Tundu Lissu, itakuwa ni uamuzi wa chama.
Inabidi tuzungumze lugha pekee anayoweza kuzungumza Rais Samia, na ataizungumza kwasababu nani anayetaka uchaguzi kama wa mwaka jana(Serikali za Mitaa - 2024), Uchaguzi wa 2020, uchaguzi wa 2019? No reform No Election. Na Tutazungumza lugha ambayo Samia ataielewa, na tutazungumza hii habari na kila mtu mchana kweupe, hatuna chochote cha kuficha, hatuna ajenda ya siri.