Wewe akili yako imeshaliwa na malaria No. 2 kama lilivyo jina lako...
Tofautisha "KUAZIMIA" na "UTEKELEZAJI WA ULICHOAZIMIA"
Na "NO REFORMS, NO ELECTION " haina maana ya kususia uchaguzi bali ni HAKUNA UCHAGUZI KUFANYIKA KABISA KWA WOTE CCM, ACT, CHADEMA nk IWAPO HAPATAFANYIKA MABADILIKO YA MIFUMO NA SHERIA ZA KUENDESHA CHAGUZI ZILIZO HURU, ZA HAKI na UWAZI KWA KILA ANAYESHIRIKI...!!
Sasa kama kuna nafasi ya kukaa chini na kuzungumza a.k.a KURIDHIANA, then mazungumzo/maridhiano hayo msingi wake uwe ni kwa namna tutafanya reforms ili kuwezesha chaguzi za kweli na haki kufanyika hapa nchini...
Hatutaki maridhiano ya kuhongana fedha au chai au chakula ambacho kinaoza na kugeuka kesho kuwa mavi. Wala hatuhitaji maridhiano ya Samia kwenda kugawa viti vya udiwani, vya ubunge na ruzuku tukupe ngapi na mwisho "U - Rais muache kwa CCM...."
Huo ☝🏻☝🏻☝🏻ujinga na upumbavu wa ki - CCM, HAPANA bakini nao ninyi huko maana mlishajipaka rangi ya kudumu ya ujinga...!!
Na amesema na kufafanua vyema kabisa kuwa NO REFORMS, NO ELECTION ni azimio lililopititishwa na Kamati Kuu, likakubaliwa na Baraza Kuu na Mkutano Mkuu ukabariki azimio hilo na mpaka hapo sasa ni UAMUZI RASMI WA CHAMA KOTE NCHINI...
Kinachoendelea kufanyika sasa ni kuliwekea mipango au mikakati ya utekelezaji wa azimio hilo yatakayokuwa pushed kwenda serikalini kwa Samia ili atekeleze kuwezesha uchaguzi huru, wa haki na wa wazi kufanyika...
Na kama hujui, SERIKALI YA CCM NA SAMIA WAO WATATEKELEZA TU WAPENDE AU WASIPENDE...!!
Kama huamini sasa, SUBIRI UTAONA KWA MACHO YAKO....