Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
HEBU andika kitu cha kueleweka, Acha wengeAmesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Umefahamu vizuri tuHEBU andika kitu cha kueleweka, Acha wenge
Samahani mgonjwa. Naamini sasa malaria imepanda kichwani, lakini je huwezi kusubiria akamaliza hotuba ndo ukaanzisha thread yako Mkuu?? Samahani lakini...Amesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Tatizo nini? Kasemaje?Samahani mgonjwa. Naamini sasa malaria imepanda kichwani, lakini je huwezi kusubiria akamaliza hotuba ndo ukaanzisha thread yako Mkuu?? Samahani lakini...
Kasemaje?Mnajadili sentensi 😂😅🤣
Katika mahojiano ya juzi alisema ataingiza wananchi barabarani kuzuia uchaguziTundu Lissu amesema hayo baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA tokea achaguliwe kuwa mwenyekiti wa Chama hicho.
Tundu Lissu amesema kuwa tuna uchaguzi Mkuu Oktoba, na tuna No Reform No Election. Hayo mambo mawili hayaendi pamoja, kiswahili chake ni Hakuna Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi. Siyo hatutasusia Uchaguzi.
Hatujazungumza Boycott, hakuna uchaguzi. Tuone tutawezaje kwenda nayo mbele, either kwa pamoja kama inawezekana au tuamue lipi muhimu zaidi. Tunaenda kujifungia ili tuijadili hii na chama, haitakuwa ni uamuzi wa Tundu Lissu, itakuwa ni uamuzi wa chama.
Inabidi tuzungumze lugha pekee anayoweza kuzungumza Rais Samia, na ataizungumza kwasababu nani anayetaka uchaguzi kama wa mwaka jana(Serikali za Mitaa - 2024), Uchaguzi wa 2020, uchaguzi wa 2019? No reform No Election. Na Tutazungumza lugha ambayo Samia ataielewa, na tutazungumza hii habari na kila mtu mchana kweupe, hatuna chochote cha kuficha, hatuna ajenda ya siri.
Ni kweli samia amepuuza mapendekezo ya kuandika katiba mpya.Mlisema hizo reforms mapendekezo yenu yamepuuzwa au unajitoa ufahamu? 😁😁👇👇
View: https://x.com/eastafricatv/status/1884504669302526183?t=sHJOmkWoBLls4ZW3P6t5-A&s=19
Mshabadilishwa akiliNi kweli samia amepuuza mapendekezo ya kuandika katiba mpya.
Katiba mpya itaandikwa mwakani wakati Tanzania ikiwa chini ya utawala wa chadema maana uchaguzi Oktoba 2025 chadema inaenda kushinda na kuingia ikulu rasmi.
Mpeni heshima yake bwanaTundu Lissu amesema hayo baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA tokea achaguliwe kuwa mwenyekiti wa Chama hicho.
Tundu Lissu amesema kuwa tuna uchaguzi Mkuu Oktoba, na tuna No Reform No Election. Hayo mambo mawili hayaendi pamoja, kiswahili chake ni Hakuna Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi. Siyo hatutasusia Uchaguzi.
Hatujazungumza Boycott, hakuna uchaguzi. Tuone tutawezaje kwenda nayo mbele, either kwa pamoja kama inawezekana au tuamue lipi muhimu zaidi. Tunaenda kujifungia ili tuijadili hii na chama, haitakuwa ni uamuzi wa Tundu Lissu, itakuwa ni uamuzi wa chama.
Inabidi tuzungumze lugha pekee anayoweza kuzungumza Rais Samia, na ataizungumza kwasababu nani anayetaka uchaguzi kama wa mwaka jana(Serikali za Mitaa - 2024), Uchaguzi wa 2020, uchaguzi wa 2019? No reform No Election. Na Tutazungumza lugha ambayo Samia ataielewa, na tutazungumza hii habari na kila mtu mchana kweupe, hatuna chochote cha kuficha, hatuna ajenda ya siri.
Mitaahira ya CCM imejawa majungu, umbea na mkishindwa kabisa kuelewaAmesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Jamaa ni wa kumpuuza tu, mihemko umezidi uhalisia...Mnajadili sentensi 😂😅🤣
Juzi alisema ataitisha maandamano ya kuzuia. Msitufanye matahiraLissu kaonesha kwamba nchi hii kutafisiri maneno, ni tungo tata sana ambazo zinaeleweka kwa wale wenye D 2 tu.
Hata Wasirra na Makala wameingia cha kike kwa tafsiri potofu walio itoa tofauti na Chadema walivyo itafsiri.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni kweli samia amepuuza mapendekezo ya kuandika katiba mpya.
Katiba mpya itaandikwa mwakani wakati Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Chadema maana uchaguzi Oktoba 2025 Chadema inaenda kushinda na kuingia ikulu rasmi.
Kasema ambacho hujaandika😅Kasemaje?
Amekuambia hivyo? Lini Ccm ilijieleza kama msimamo wa chama? Kuna siku Ccm ilikua serius na mambo ya maana?Amesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Wewe si mpenda Amani kabisa..kumbuka hii ni nchi yetu ..si nchi yako!Amesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu