Pre GE2025 Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ulikuwa na msimamo huu hata kabla ya Mbowe kupigwa chini?
Uchawa ni laana maana imeandikwa "amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu".
Huyo ni tegemezi kwa Mbowe,hivyo hawezi ona lolote jema kwa Lissu.
 
Period imekupanda kichwani, watanzania tuna akili na tumemuelewa. Na hata leo tumemsikia na kumuelewa, hajakanusha no REFORM NO ELECTION slogan, hawakubali kuingia kwenye uchaguzi kama wa 2019, 2020 na 2024.

Tutazungumza lugha atakayoielewa Samia, na chama watakaa waone way forward. Tutolee chuki zako za kichawi, unaona dharau, matusi na kejeli dhidi ya mnaopishana mtazamo ndio ufumbuzi. Acha lugha wa malaya niliishakuonya, CHADEMA na watanzania wana akili kukushinda. Pathetic
 
Kikubwa tunataka mshiriki kwenye uchaguzi, hayo madai mengine endeleeni kuyadai, mkishinda nyie mtafanya hayo mnayotaka kwenye ilani na sera zenu
Utashindaje wakati hakuna mazingira ya kushinda? 2024 98% ya wagombea wa upinzani walienguliwa au hukuwepo?
 
Utashindaje wakati hakuna mazingira ya kushinda? 2024 98% ya wagombea wa upinzani walienguliwa au hukuwepo?
yule aliamua kuvuruga uchaguzi kwa utashi wake, by the way wapinzani wana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi kama ni wa haki na wazi
 
Ebu kamsikilize vizuri ameeeleza vizuri sana acha kupotoshwa
 
yule aliamua kuvuruga uchaguzi kwa utashi wake, by the way wapinzani wana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi kama ni wa haki na wazi
Na ndicho wananchi wenye mapenzi mema na Tanzania wanahitaji. Samia na CCM hawana dhamira ya uchaguzi huru na haki
 
 
Baadhi ya reforms zimeshafanyika kama Tume huru ya uchaguzi.
Tuna uhuru wa kibadili jina la Tanzania tuite Kalifonia (California). Lakini je, tukifanya hivyo tutakuwa California. Tulikuwa na tume ya uchaguzi, tukaibadili jina tukaita tume huru ya uchaguzi. Je, tume hiyo sasa ni huru?
 
Wana Jamvi

Leo si Mbowe alitakiwa kuwepo kukabidhi ofisi rasmi.? Inakuaje mwenyekiti anaomba tuache kusemana, tushakame kuwa kitu komoja na ameshindwa kumwita Mstaafu amkabidhi ofisi .?

Mathayo 7:5

Ewe mnafiki, ondoa boriti ndani ya jicho lako kwanza, ndipo utaweza kuona dhahiri jinsi ya kuondoa kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako.
 
Swaga
 
Amesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Mbowe wako si alishindwa?.
 
Amesema chama kitakaa na kujadili kuhusu no reform no election.
Hapo mwanzo alisema huo ndio msimamo wa chama hautabadilika.
Baada ya kuona ccm wapo seriously na hili jambo kaamua kubadili gia angani
Kama ya Mbowe Kama ya Lissu
Zilongwa mbali, zitendwa mbali!
 
Hanaga msimamo huyo 😁😁
Kama Lissu ambaye anajulikana kwa Msimamo hana Msimamo Je Mama Samia tusemeje??? . Raisi ambaye hata ripoti za mauaji anasema kwa kiki? . Lissu ni jiwe na ndiyo maana ni mashuhuri kisiasa kuliko mtu yeyote Tanzania kwa sasa. Nyie tegemeeni hao wasanii na machawa kama wewe mtaona. CCM wametoa Tsh 4B Lissu ashidwe na ushahidi upo lakini wameshidwa kwasababu jamaa anapendwa na kawazidi akili huo ndiyo ukweli
 
Mashuhuri ndio kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…