Tundu Lissu kila nikijilazimisha nimuone wa maana, moyo unagoma tu, simpendi na sipendi awe kiongozi kokote kule!

Kasome kitabu kinaitwa " makuwadi wa soko huria" Prof. Chachage kama unaweza kusoma vitabu. Msome vizur xhachage utakuja kujua huyu lisu ni nani na anasimamia nn haswa
Mkuu Asante, Ngoja nitakitafuta na Mimi na huwenda kikanipa kitu
 
Kisamv ! Sio lazima upende kila mtu mpende huyo aliyekulipia nauli na gharama zote huko ulipo !
 
Sijapinga sifa zake zote za kuwapigania wananchi mkuu, shida yake moja ni kutuamini kwamba nchi yetu inauhuru
Uhuru? Uhuru upi? Mwaka 2015 palipitishwa muswada wa dharura wa mafuta na gesi pale dodoma. Waliokuwa wengi bungeni walikuwa ccm akiwemo JPM! Lisu na wenzake walikuwepo bungeni ? Hapana walitoka ulitaka nn pale toka kwa lisu
 
Wewe na wenzako mna chuki kutokana na uwezo aliokuwa nao mtatangulia mbele za haki kama ambavyo wengine wametangulia.
 
Sijapinga sifa zake zote za kuwapigania wananchi mkuu, shida yake moja ni kutuamini kwamba nchi yetu inauhuru
Mtu anayefuatilia maendeleo ya uuzwaji wa rasilimali za Tz na kumchukia Tundu lisu kwamba eti anaihujumu nchi hata apigwe risasi? Huyu namchukulia kama mtu huyu ni zuzu ama ni mjinga wa kihalaiki tu. Lisu aihujumu Tanzania leo? Tusome kitabu cha makuwadi wa soko huria
 
Katwange kisamvu familia ile
 
Kaongee na mamako vizuri akueleze, huenda babako wa kibaiolojia ni yule chizi aliyezikwa Chato
 
Wazungu wameshamuharibu valve seal huko back
 

Wakili msomi na mchunga ng'ombe ni vitu viwili tofaut kbs!! Ishi humo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…