Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Pole mleta mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nini cha kuwapa wazungu hapa nchini? Na ni kipi wazungu wanakikosa sasa hivi, hadi Lisu awe kiongozi ndio wakipate? Kama tuna hicho cha maana hadi wazungu wanakitaka, huu umasikini ni wa nini wakati tuna mali wazungu wanasubiri wapewe na Lisu? Kwanini nyinyi msikitumie kumaliza huu umasikini ulioshika kasi?Huyu lissu mtu wa ovyo sana hafai kuongoza hata mtaa hapa tz. Ni kibaraka mkubwa wanajitahidi mabwana zake wa ulaya aongeze nchi ili awakabidhi. Nashangaa unapoteza muda kumchambua kibaraka huyu.
Kifo ni wewe babu bibi baba na kila mtu mkuu, jikite tu kwenye hoja mkuuUnachanganya chuki na umasikini si utakufa mkuu
Ni uhuru upi tuliokuwa nao kama watu walikuwa wanahoji wanashambuliwa kwa risasi, wanatekwa, wanauawa na kupotezwa?Sijapinga sifa zake zote za kuwapigania wananchi mkuu, shida yake moja ni kutoamini kwamba nchi yetu inauhuru na kwamba sisi tunaweza kumaliza mambo yetu bila mkono wa mzungu
Akili yako iko huko tu kwa vile ndiyo ulivyo. Bora hata mleta uzi japo amepotoka lakini wewe uko kisengerema zaidi.Wazungu wameshamuharibu valve seal huko back
Huwezi kumwelewa mtu mwenye akili nyingi sana kama wewe una akili za wastani.Tundu Lisu ana roho mbaya sana ya kichawi, kichonganishi, kishetani na bila shaka ni mgonjwa wa akili.
Hana tatizo zaidi ya ushamba na kutojua dunia inaendaje? Anafikiri adui wa Tanzania ni wazungu anasahau yale majizi wenzie wa ccm pale dodoma.Unatatizo gani na wazungu kisamv Cha kopo?
Ni kitu gani utafanya bila mzungu?alituaminjsha tunatekeleza kwa hela zetu,muulize kabudi na ditto walikola kiasi gani kwa wazungu?
Leo mama anaupiga mwingi,ameshachukua ngapi kwa wazungu.ni majuzi tu mpina kahoji bungeni mwigulu kakopa bila bunge kuijua trillion ngapi unajua?
Migodi yetu yote inachimbwa na wazungu,na Bado wanakuja kuchimba uranium na chuma Cha liganga na mchuchuma.
Dawa za ukimwi ni maaada wa mzungu,dawa za TB ni maaada wa wazungu,dawa za maralia tunazopewa Bure ni maaada wa wazungu.
Pita pale ubungo flyover ukague bango la mradi utaona financial ni wazungu na hata tazara financial ni wazungu!!!inatosha,tafakari.
Bado chanjo.,bila mzungu hutoboi usijidanganye.
"Mchawi hajawahi mpenda mpiga maombi" alisikika mzee mmoja aliyekuwa kwenye daladala ya kwenda chamanzi.Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibar
Jinga lingine ni wewe.Tundu Lisu ana roho mbaya sana ya kichawi, kichonganishi, kishetani na bila shaka ni mgonjwa wa akili.
Ninaunga mkono hojaMkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,

Utengamano wa uwezo wake wa kufikiri hutegemeana na majira ya mwezi. Mwezi ukiwa kona anakuwa kama zezeta kabisa.bila shaka ni mgonjwa wa akili.
Sawa mtu hawezi kupendwa na watu wote, Yesu alikua mwana wa MUNGU na aliwatendea watu wema lakini watu hawakumpenda, sembuse Lissu...??!! Mnyaturu wa singidani, nadhani uko sawa na ni kawaida, Wala hapatakua na kukulazimisha umpende Lissu awe kiongozi.Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,
Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu,
Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania,
Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma siku zote, na Mh Lissu hizo sifa anazo, kulingana na misimamo yake weledi na ujasiri wa kukabiliana na wanasiasa njaa na uthubutu wa kukemea kila uovu hadharani, inatosha kusema, huyu pia ni kati ya wanasiasa wanaofaa kuwapo kwenye Top Lider wa kuiongoza Tanzania
Licha ya sifa hizo zoote, simpendi tu na Namuomba Mungu kila siku asiwe kiongozi kwenye nafasi yoyote ile ya nchi hii
Moja ya sababu inayopelekea kumchukia, ninadhani na ingawa sina uhakika nalo, kwamba, ni kati ya watu ambao huwenda wanasiri kubwa sana moyoni kuhusu mstakabali wa nchi na rasilimali zake kutokana na anavyowahusudu wazungu
Moja ya mambo ambayo yanafanya kuona kwamba yeye na wazungu ni kitu kimoja, ni pamoja na kuhamishia familia yake yeye na watoto wake kuwa raia wa huko, kujaribu kutetea mila za kishoga ambazo sio utamaduni wa mwafrika ni moja kati ya mengi yanayonifanya nisiuone umaana wowote kwake
Jambo lingine, ni pamoja na yeye kuamini saaana kwamba, matatizo ya nchi yetu hatuwezi kuyamaliza sisi kwa sisi mpaka kuwepo na mkono wa mzungu
Mfano,
Mashitaka yake mengi kipindi cha uongozi wa (JPM) wengi hupenda kumwiita dhalimu ili hali sifa za huyo Dhalimu zinafanana kwa ukaribu saana na Mh Lisuu, alikuwa akishinikiza mkono wa mzungu utumike kumng'oa Magufuli hata kama ni kosa moja tu la Magufuli kafanya, wakati huo huo mkono wa mzungu popote pale ulipotumika kung'oa viongozi wa nchi mbalimbali, hakujawahi kuwepo Amani tena,
Alitaka hivyo ili tulioko huku tuumie yeye akiendelea kula mayai ulaya?
Mtu asiyejiamini katika kutatua matatizo yake mwenyewe, atawasaidia nini wananchi ambao wamajaa matatizo lukuki? Kuzungumza na kuweka sawa mikataba ambayo sisi kama nchi tunaona ni kama tumelaliwa, mpaka tuwaulize wazungu huku tunajigamba ni nchi huru?
Huo ndio udhaifu mkubwa wa huyu ndugu yetu na ambapo Mimi binafsi stamani kabisa tuwe na kiongozi mfano wa huyu!
Wenye kutukana, tukaneni na usiku mtalala!
Kisamv,
Kwa sasa niko kwenye visiwa vya karafuu Zanzibar
Mkuu, umenifikirisha sana'Sawa mtu hawezi kupendwa na watu wote, Yesu alikua mwana wa MUNGU na aliwatendea watu wema lakini watu hawakumpenda, sembuse Lissu...??!! Mnyaturu wa singidani, nadhani uko sawa na ni kawaida, Wala hapatakua na kukulazimisha umpende Lissu awe kiongozi.
Pia umesema Lissu anawahusudu sana wazungu, bad enough umesema Lissu anadhani Yuko sawa/pamoja na wazungu. Ni kweli hata Mimi Niko na mtazamo huo huo.
Wazungu Kwa kasi walio nayo ya kimaendeleo, hekima Yao, busara zao, so why wamekuwa blessed na MUNGU, Nimebaini African people ni wabinafsi mno ndo maana MUNGU hajatubless.(kiukweli kumuwazia vibaya mtu aliekuzidi vitu fulani, kisa tu amekuzidi, huo sio wivu wa kimaendeleo ila ni uchawi)
Kwa nini nasema Ivo, Yako mema mengi mzungu ameyafanya kwetu, bila kujali intention Yake katika wema aliotutendeaa. (Siwezi kumaliza Kwa kutaja). labda let say wewe ni mkulima wa ndizi, Wala hujui matumizi ya ndizi zaidi ya kula, akatokea mtu akiomba ile ndizi Kwa kubageini nae bei, ukaridhika na ukamuuzia, badaye akatengeneza biskut, akakuuzia wewe Kwa bei kubwa mno, na wewe ukanunua Kwa kuridhika. Je utakua na sababu gani kumchukia mtu uyo?.
Ningekua Mimi ningenyenyekea kwake anifundishe na mengine nisiyoyajua.
Kipi tumekifanya Kwa uwezo wetu bila mzungu au mchina?. Hata useme Bora tungebaki na uprimitive wa kiafrika, sawa ila tusingeendana na nyakati, Kuna kabila la wafugaji hapa tz(jina limeifadhiwa) wanaishi kinyama hawana utu, ni WA ajabu, wananyanyasa wanawake, na iyo ndo hekima ya kiafrika,. Je tungekua Ivo ingekuaje? Ni wazungu waliotuambukiza ustaarabu katika nyanja zote.
Mwingine utamsikia bora JPM alianzisha urafiki na china, je mchina ndo angekupa bure bila kukufaidi? Je uyo mchina ndo unaunasaba nae?,
Note:
AKILI YAKO NA MTIZAMO WAKO, ULIVOTOFAUTI NA WENGINE SIO NDO KIPIMO CHA UZALENDO WA MTU KATIKA TAIFA HILI, TAIFA HILI NI LAKO, NI LANGU, NI LA LISSU, NI LA WATU WOTE WALIOWATANZANIA, NA NAAMINI WOTE TUNALITAKIA MEMA TAIFA LETU, MITAZAMO INATOFAUTIANA KUTOKANA SABABU MBALIMBALI IKIWEMO UPEO WA KIFIKRA. itoshe
Mijitu mingine mko Duniani kwa bahati mbaya kabisa kwako huogopi cccm ilivyoua hii Nchi ila unaogopa mtu ambae hana madaraka umBWA kabisaMkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu,