Unaweza kukuta huyo mzungu anamchumbia lisuHapo kakutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya.
Hakuna kurudi nyuma katika mapambano ya kumdhibiti mkoloni mweusi.
View attachment 1973839
Wewe una akili ya kitumwa!Afadhari kuliko kipindi kile ambacho ukiona umwitwa ikulu unaenda kutandikwa risasi. Waafrika tuna matatizo bora wazungu watutawale tena. Huwa najiuliza kitendo cha jpm kutaka kumuua lisu kisa eti ni mkosoaji mkuu. Sasa hapo ndo utaona viongozi wa kiafrika ni madictator wote bora wauawe wote. takayeweza kuliua limseven nitashinda kanisani aiku hiyo namshukuru mungu na kutoa sadaka. Hayaangalia samia naye anataka kumuulia mbowe jela.
Connections zipi?!!Jamaa ana connection kuliko Chief Hangaya na organs zake zote.
🤣🤣Baada ya dikteta kuondoka unaonaje jinsi democrasia ilivyotamalaki?
Lengo letu si hilo unalolidhania weweKesho utasikia EU waimiminia misaada Tanzania.
Wazungu siyo wajinga wanajua tofauti ya mbwa na mwenye mbwa kwa sababu wao ni rafiki sana wa mbwa majumbani mwao!
Mr belgiji kakenua meno utafikiri kamuona Mungu.
Hivi kinachofanya Lisu aendelee kukaa kwa beberu ni nini wakati mbaya wake alishakufa?
Kwa kweli ni mamluki, wameamua kuacha kutumia akili kabisa bila aibu.. utawasikia CCM kwanza..BLADIFEKENI.Usipoteze muda wako kwa kuhangaika na Mamluki
Sory mkuu hapo ndio yupiHapo kakutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya.
Hakuna kurudi nyuma katika mapambano ya kumdhibiti mkoloni mweusi.
View attachment 1973839
Huwezi kuitoa CCM kwa kutegemea Wazungu ambao nao wanabenefit kwa CCM, kinachofuata watakutumia kuibana CCM kwa wao kupata maslahi zaidi... Nitajie nchi moja ambayo wazungu wameleta demokrasia na stabilization..
Wazungu walishindwa kuwasaidia weusi pale SA dhidi ya kaburu matokeo yake weusi wenyewe wakapambana kujikomboa huku wazungu wakipamban kimyakimya kusaidia kaburu..
Kwani si tunajitegea na tupo uchumi wa kati misaada gani tena?!Kesho utasikia EU waimiminia misaada Tanzania.
Wazungu siyo wajinga wanajua tofauti ya mbwa na mwenye mbwa kwa sababu wao ni rafiki sana wa mbwa majumbani mwao!
Kumbe lengo ni kupiga nao picha tu?Lengo letu si hilo unalolidhania wewe
Hizo damu ni impact tu ya uongozi wahovyo wa gadafi. Toka zamani demokrasi ingekuwepo wangekuwa wameshazoea. Ni sawa na kagame siku akifa itakuwa kama libya kule watu watachinjana mana hawatajua waanzie wapi waishie wapi. Udictator wa viongozi wa kiafrika ndp chanzo cha matatizo wala siyo wazungu. Mfano kipindi cha jpm mi nilitamani boko haramu au isis waje tutandikane mabomu i kila mtu asikie uchungu siyo chadema tu.Wewe una akili ya kitumwa!
Nenda pale Libya sasa hivi ukajionee damu zinavyomwagika hovyo za watoto wanawake na wazee baada ya hao jamaa zako kuleta democrasia yao pale!
Nyie mkilishwa propaganda mnazimeza kama zilivyo.
Halafu tukishatandikana huko ndio CHADEMA imeingia ikulu?!!! Khaaa 😳😳Hizo damu ni impact tu ya uongozi wahovyo wa gadafi. Toka zamani demokrasi ingekuwepo wangekuwa wameshazoea. Ni sawa na kagame siku akifa itakuwa kama libya kule watu watachinjana mana hawatajua waanzie wapi waishie wapi. Udictator wa viongozi wa kiafrika ndp chanzo cha matatizo wala siyo wazungu. Mfano kipindi cha jpm mi nilitamani boko haramu au isis waje tutandikane mabomu i kila mtu asikie uchungu siyo chadema tu.
Hama nyumbani hapo matatizo yakulaga ugali anaopika mama yetu hapo unampa stressNisemeje sasa nawe unataka NIELEWE lile ulipendalo wewe tu.....lile lililo KICHWANI mwako tu na si kichwani mwangu....[emoji1787][emoji1787]
Niko kwangu mkuu......🤣Hama nyumbani hapo matatizo yakulaga ugali anaopika mama yetu hapo unampa stress
Mkuu hupo sahihi. Pale SA, Afrika nzima ilishindwa. Baadaye Afrika ikahamishia juhudi zake kutafuta kuungwa mkono na US na UK. Hao walipokubali kuunga mkono ombi la nchi za Afrika kuutenga utawala wa weupe wachache, na kuamua kutofanya nao biashara, ndiyo ukawa mwisho wa ubaguzi wa rangi.Huwezi kuitoa CCM kwa kutegemea Wazungu ambao nao wanabenefit kwa CCM, kinachofuata watakutumia kuibana CCM kwa wao kupata maslahi zaidi... Nitajie nchi moja ambayo wazungu wameleta demokrasia na stabilization..
Wazungu walishindwa kuwasaidia weusi pale SA dhidi ya kaburu matokeo yake weusi wenyewe wakapambana kujikomboa huku wazungu wakipamban kimyakimya kusaidia kaburu..