Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya

Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya

Afadhari kuliko kipindi kile ambacho ukiona umwitwa ikulu unaenda kutandikwa risasi. Waafrika tuna matatizo bora wazungu watutawale tena. Huwa najiuliza kitendo cha jpm kutaka kumuua lisu kisa eti ni mkosoaji mkuu. Sasa hapo ndo utaona viongozi wa kiafrika ni madictator wote bora wauawe wote. takayeweza kuliua limseven nitashinda kanisani aiku hiyo namshukuru mungu na kutoa sadaka. Hayaangalia samia naye anataka kumuulia mbowe jela.
Wewe una akili ya kitumwa!

Nenda pale Libya sasa hivi ukajionee damu zinavyomwagika hovyo za watoto wanawake na wazee baada ya hao jamaa zako kuleta democrasia yao pale!

Nyie mkilishwa propaganda mnazimeza kama zilivyo.
 
Jamaa ana connection kuliko Chief Hangaya na organs zake zote.
Connections zipi?!!

Anamzidi Desmond Tutu?!!!

Connections alizonazo zinavunjia kipi cha JMT?!!!

Ulaya imejaa WANAHARAKATI walioomba hifadhi....ikiwa mzungu anatoa hifadhi kwa WASOMALI NA WASYRIA ashindwe kwa huyo POPOMA Lissu?!! 😳🤣🤣
 
IMG_20210923_182430.jpg
 
Shida ni kwamba hiyo ngozi nyeupe nawao na watawala wa dunia kwa ujumla si wa kuwaamini, wanaangalia maslahi yao kwanza hata kama utapeleka maneno lorry zima, wanaweza wakakausha tu Paulo Kagame,Museveni na ving'ang'anizi wengine waliopo Africa unadhani wanalindwa na nani? Wajinga sana hao ambao tunaona ndiyo wakombozi wetu hasa kama wananufaika na Nchi yetu
 
Yani anatafuta madaraka na manufaa binafsi ya kisiasa kwa kuomba watanzania wenzie wasisaidiwe.

Ivi uyu anautofauti gani na waasi tunaowasikiaga uko kongo?
 
Masalia wake bado wapo na wana hasira sana.
Mr belgiji kakenua meno utafikiri kamuona Mungu.

Hivi kinachofanya Lisu aendelee kukaa kwa beberu ni nini wakati mbaya wake alishakufa?
 
Elimu ya mzungu si pekee ukombozi wa heshima ya mwanadamu ...

Isome uisomavyo bado haiwezi kuondoa PRIDE ya utaifa wa mtu....

Tundu Lissu anadhani "kuwaabudu" wazungu ndio ukombozi wa MWAFRIKA......🤣🤣
 
Huwezi kuitoa CCM kwa kutegemea Wazungu ambao nao wanabenefit kwa CCM, kinachofuata watakutumia kuibana CCM kwa wao kupata maslahi zaidi... Nitajie nchi moja ambayo wazungu wameleta demokrasia na stabilization..

Wazungu walishindwa kuwasaidia weusi pale SA dhidi ya kaburu matokeo yake weusi wenyewe wakapambana kujikomboa huku wazungu wakipamban kimyakimya kusaidia kaburu..

Mnao kosoa kila kitu mlitaka afanye nini? Huyu ni mtu mmoja kama mimi na wewe tujiulize sisi tumefanya nini badala ya kukosoa tu nyuma ya mitandao
 
Kesho utasikia EU waimiminia misaada Tanzania.

Wazungu siyo wajinga wanajua tofauti ya mbwa na mwenye mbwa kwa sababu wao ni rafiki sana wa mbwa majumbani mwao!
Kwani si tunajitegea na tupo uchumi wa kati misaada gani tena?!
 
Wewe una akili ya kitumwa!

Nenda pale Libya sasa hivi ukajionee damu zinavyomwagika hovyo za watoto wanawake na wazee baada ya hao jamaa zako kuleta democrasia yao pale!

Nyie mkilishwa propaganda mnazimeza kama zilivyo.
Hizo damu ni impact tu ya uongozi wahovyo wa gadafi. Toka zamani demokrasi ingekuwepo wangekuwa wameshazoea. Ni sawa na kagame siku akifa itakuwa kama libya kule watu watachinjana mana hawatajua waanzie wapi waishie wapi. Udictator wa viongozi wa kiafrika ndp chanzo cha matatizo wala siyo wazungu. Mfano kipindi cha jpm mi nilitamani boko haramu au isis waje tutandikane mabomu i kila mtu asikie uchungu siyo chadema tu.
 
Halafu tukishatandikana huko ndio CHADEMA imeingia ikulu?!!! Khaaa 😳😳
 
Nisemeje sasa nawe unataka NIELEWE lile ulipendalo wewe tu.....lile lililo KICHWANI mwako tu na si kichwani mwangu....[emoji1787][emoji1787]
Hama nyumbani hapo matatizo yakulaga ugali anaopika mama yetu hapo unampa stress
 
Huwezi kuitoa CCM kwa kutegemea Wazungu ambao nao wanabenefit kwa CCM, kinachofuata watakutumia kuibana CCM kwa wao kupata maslahi zaidi... Nitajie nchi moja ambayo wazungu wameleta demokrasia na stabilization..

Wazungu walishindwa kuwasaidia weusi pale SA dhidi ya kaburu matokeo yake weusi wenyewe wakapambana kujikomboa huku wazungu wakipamban kimyakimya kusaidia kaburu..
Mkuu hupo sahihi. Pale SA, Afrika nzima ilishindwa. Baadaye Afrika ikahamishia juhudi zake kutafuta kuungwa mkono na US na UK. Hao walipokubali kuunga mkono ombi la nchi za Afrika kuutenga utawala wa weupe wachache, na kuamua kutofanya nao biashara, ndiyo ukawa mwisho wa ubaguzi wa rangi.
 
Back
Top Bottom