Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

Hili ni sawa, Mungu aliyemwokoa na kifo ndiye atayelipa kisasi kwa kadri ya atakavyo!
 
Hakuna kura za pole mwanangu hapa ....Lissu anapoteza muda tuuu
 
HESABU 6:24-27

"BWANA akubarikie, na kukulinda; BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili; BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani"

[emoji120]
 
Hakika nimesukumwa na Kauli ya Tundu Lissu Aliyoitoa Ktk Misa ya Kumshukuru Mungu kwa Kumnusuru Kifo baada ya Kupigwa Risasi na Watu Wasiojulikana Jiji Dodoma .

Ktk Misa hiyo Tundu Lissu amewaeleza Waumini jinsi Alivyopigwa Risasi Kutibiwa Kuppoteza Ubunge Kunyimwa Stahiki zake za Ubunge Mpaka Kurejea kwake Nchini na Kumshukuru Mungu wa Miujiza,Madaktari wa Ndani na Nje ya Nchi Watanzania wote walimtembelea,Waliomwombea na Waliomkejeli na kusema Hana Nia ya Kulipa kisasi kwa Yeyote kwani Ni Watu Wasiojulika lakini Machoni Pa Mungu Wanajulikana na hivyo Kusema Hata lipa Kisasi kwa Hataki Binadamu mwingine Apate Maumivu kama Aliyoyapata yeye Amemwachia Mungu.

Hilo ni Somo zito Binadamu Tumwogope Mungu ,Unaweza kumfanyia Ubaya Binadamu mwenzako na Usijulikane lakini Mungu anakuona.Duniani tumekuja Kuishi sio Kuuana Usichotaka wewe Usimfanyie Mtu mwingine haya ni Maisha tu.

HOFU YA MUNGU ITUTAWALE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…