Tundu Lissu kuanza ziara ya kikazi Marekani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa iliyotolewa na Chama chake hii hapa .



Mara baada ya Ziara hii iliyopewa jina la "Lissu USA Tour 2023" na ambayo imetajwa kuwa ya lazima na muhimu , ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka Songwe kwa ajili ya Oparesheni 255 ya Chama chake Kanda ya Nyasa .
 
Mbwembe ni nyingi matokeo ziro!
 
aende na mdude nyagali na bila kumsahau J.pumbulo ni muhimu sana
 
Kwa sasa nyanda za juu kusini ni CCM Ndio inayoaminika mioyoni mwa watanzania na kuungwa mkono na kila rika na kila kundi lipo upande wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…