mirror01
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 1,797
- 1,391
Kule ni kwa akinina Abdul ataenda nanini kama mama kuzima motoNilidhani anaanza ziara Israel 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule ni kwa akinina Abdul ataenda nanini kama mama kuzima motoNilidhani anaanza ziara Israel 😂
Basi Mh Lissu atazomewa ...hapo vipi mwasambwanda?Kwa sasa nyanda za juu kusini ni CCM Ndio inayoaminika mioyoni mwa watanzania na kuungwa mkono na kila rika na kila kundi lipo upande wa CCM.
Usiwasemee watu wengine.Waache waone ufanyikaji wa mambo ya siasa ili wawe na uwanda mpana wa kuangalia hali halisi.Usiwafikishe kwenye suluhisho kabla ya ukokotoaji jawabu.Kwa sasa nyanda za juu kusini ni CCM Ndio inayoaminika mioyoni mwa watanzania na kuungwa mkono na kila rika na kila kundi lipo upande wa CCM.
Tena mkoa wa Mbeya ndio ngome ya CCM .Ukitaka uamini maneno yangu basi jaribu kutathimini ni jimbo gani ndani ya mkoa wa mbeya ukiacha Mbeya mjini limewahi kuongozwa na CHADEMA? Katika mikoa ya nyanda za kusini mkoa wa Mbeya ndio kidogo uliwapa wabunge watatu ambapo ilikuwa jimbo la Mbozi kwa Paschal Yohana Haonga,Jimbo la Momba alikochukua silinde ambaye sasa yupo CCM na Jimbo la Tunduma ambako alikuwa Frenk Mwakajoka. Kwa hiyo ukiangalia kitakwimu na kihistoria unagundua kuwa Mkoa wa Mbeya ndio mkoa ambao wabunge wa CCM hupigiwa Kura kwa wingi sana.Kwi Kwi Kwi
Unaandika kwa hisia badala ya ukweli.Hii haitakusaidia.Utaishi kwa hofu sana.Muda matokeo ya kura yatakapokuwa yanatangazwa utakaa kwenye kigoda kwa kalio moja kama unatazama horror movie/sinema ya kutisha huku unatetemeka.Niamini mimi!Tena mkoa wa Mbeya ndio ngome ya CCM .Ukitaka uamini maneno yangu basi jaribu kutathimini ni jimbo gani ndani ya mkoa wa mbeya ukiacha Mbeya mjini limewahi kuongozwa na CHADEMA? Katika mikoa ya nyanda za kusini mkoa wa Mbeya ndio kidogo uliwapa wabunge watatu ambapo ilikuwa jimbo la Mbozi kwa Paschal Yohana Haonga,Jimbo la Momba alikochukua silinde ambaye sasa yupo CCM na Jimbo la Tunduma ambako alikuwa Frenk Mwakajoka. Kwa hiyo ukiangalia kitakwimu na kihistoria unagundua kuwa Mkoa wa Mbeya ndio mkoa ambao wabunge wa CCM hupigiwa Kura kwa wingi sana.
Ukija mkoa wa Rukwa na katavi nako ni ngome ya CCM.ambapo upinzani ulikuwa kidogo sana kwa jimbo la kwela enzi za mfupe alipokuwa anashindana na mzee marehemu Chrisant maji ya Tanga mzindakaya, na alipokuja Daniel Naftal hakuwa tishio hata kidogo na ndio maana aliokuwa nao vijana kama akina James mwanilyela waliokuwa wanakubalika sana hasa kwa kata ya mji mdogo wa Laela wote kwa pamoja na wengine wengi waliikimbia na kuihama CHADEMA.
Kwa hiyo lazima ufahamu kuwa nyanda za juu kusini ni ngome ya CCM na sehemu ambayo kura zake zipo Tayari kwa ajili ya kuipatia na kuipigia CCM kura za ndio kwa kishindo.siasa zetu za nyanda za juu kusini nazifahamu vizuri sana na maeneo yote na kona zote nazifahamu vizuri na utamaduni wake pamoja na mahitaji yake nayafahamu vizuri. Njooni na operation zenu kama sehemu ya kufanya uzurulaji na kutafuna michango ya wafadhili wenu ,lakini hakuna matokeo chanya ya aina yoyote ile mtakayoyapata. Ikumbukwe kuwa nyanda za juu kusini hatuburuzwi wao kudanganywa na hoja nyepesi nyepesi za majukwaani ambazo huwa mnadanganya danganya.
Simpendayo amekujaSimpendi
unampenda mwarabu eeee.Simpendi
ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka Songwe kwa ajili ya Oparesheni 255 ya Chama chake Kanda ya Nyasa .[emoji419][emoji375][emoji1548][emoji173]Taarifa iliyotolewa na Chama chake hii hapa .
View attachment 2781565
Mara baada ya Ziara hii iliyopewa jina la "Lissu USA Tour 2023" na ambayo imetajwa kuwa ya lazima na muhimu , ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka Songwe kwa ajili ya Oparesheni 255 ya Chama chake Kanda ya Nyasa .
Mungu Ibariki CHADEMA[emoji173]Taarifa iliyotolewa na Chama chake hii hapa .
View attachment 2781565
Mara baada ya Ziara hii iliyopewa jina la "Lissu USA Tour 2023" na ambayo imetajwa kuwa ya lazima na muhimu , ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka Songwe kwa ajili ya Oparesheni 255 ya Chama chake Kanda ya Nyasa .
Ziara inagharamiwa na nani???Taarifa iliyotolewa na Chama chake hii hapa .
View attachment 2781565
Mara baada ya Ziara hii iliyopewa jina la "Lissu USA Tour 2023" na ambayo imetajwa kuwa ya lazima na muhimu , ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka Songwe kwa ajili ya Oparesheni 255 ya Chama chake Kanda ya Nyasa .
Huna akili Jo halafu punguza wivu wa kindeziNilidhani anaanza ziara Israel [emoji23]
Chadema ilaaniwe kwa kweli