Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuchukua fomu ya kuwania Urais wa JMT tarehe 8 Agosti jijini Dodoma

Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
Kila la heri na nina amini watafuata taratibu na kanuni za Tume ya Uchaguzi, kinyume cha hapo, watakutana na mzee wa "watapata taabu sana"!
 
Mbona unaniattack hivyo. Mimi mwenyewe siko na upinzani.

Mimi niko na Magufuli. 2020/2025. Naamini atamalizia.
 
Tarehe ipi sahihi? 08 Oktoba 2020 au 08 Agosti 2020?
Amekosea kidogo, ni 8/8/2020 ndio kuchukua fomu.
Ila 8/10/2020 Lissu ana anza mazoezi jinsi ya kuapishwa uwanja wa taifa.
 
Amekosea kidogo, ni 8/8/2020 ndio kuchukua fomu.
Ila 8/10/2020 Lissu ana anza mazoezi jinsi ya kuapishwa uwanja wa taifa.
Anaweza akawa sahihi. Kwamba tarehe 10 mwezi wa nane. Huo ni mpangilio. Sema haujazoeleka. Hapo inakuwa ni matter ya kujiongeza.
 
Hii sio taarifa ya chama mkuu acha kutokwa povu. ...taarifa za chama zina viwango vyake si bandiko kama hili
 
Chadema nwako careless ndio maana wakachagua Lisu badala ya Nyalandu.Tarehr zote aluzoandoka mleta za uongo kuanzia heading Hadi ndani kwenye content yake
Hata usemeje, watu hawarudii kosa la nyuma
 
Kila la heri na nina amini watafuata taratibu na kanuni za Tume ya Uchaguzi, kinyume cha hapo, watakutana na mzee wa "watapata taabu sana"!
Mzee wa "Watapata taabu sana" ana mjua Commander in chief ajaye November hivyo unadhani hazimyoshi?
Mwenzie Mambosasa alishastuka mapema
 
Mzee wa "Watapata taabu sana" ana mjua Commander in chief ajaye November hivyo unadhani hazimyoshi?
Mwenzie Mambosasa alishastuka mapema
OK tusubiri tuone si ni wiki hii, tarehe 08 Agosti, 2020? Ya nini tuandikie mate?
 
Halafu ni jumamosi
 
Wewe ndio mjinga hujui kitu umejaa chuki na sumu moyoni.
Tume imeshatangaza uchukuaji wa fomu na urejeshaji tokea 5/8 hadi 25/8 na Siku hizo imeagizwa ofisi kutofungwa nchi nzima bila kujali sikukuu au weekend.
Sasa wewe vuvuzela unakuja na nyimbo gani hapa? Ukiwa hujui kitu unyamaze hata kama moyo wa chuki unakusukuma.
 
Tarehe 8 mwezi wa 8 Ni sikukuu ya kitaifa inafahamika na kila mtu kasoro nyie wajinga wa Chadema .Siku hiyo sio siku ya kazi mpumbavu wewe
Nimepata udhibitisho toka Tume kuwa ofisi hazitafungwa hadi mwisho wa zoezi la kurudisha katika muda wa kazi siku zote.
Kwa hiyo tuliza boli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…