Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuchukua fomu ya kuwania Urais wa JMT tarehe 8 Agosti jijini Dodoma

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuchukua fomu ya kuwania Urais wa JMT tarehe 8 Agosti jijini Dodoma

Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
Kila la heri na nina amini watafuata taratibu na kanuni za Tume ya Uchaguzi, kinyume cha hapo, watakutana na mzee wa "watapata taabu sana"!
 
Sio heading huyo mjinga mwenzio kaandika ataenda chukua fomu tarehe 8 mwezi wa nane alivyo mjinga hajui hiyo siku Ni sikukuu ya kitaifa ya nane nane ila Chadema hatuwashangai kwa huu ujinga huwa hamshiriki mambo ya kitaifa kwa hiyo. Nyie na Lisu wenu mko zero mnajua siku hiyo Ni ya kazi!!! Mambo ya kitaifa mko sifuri Halafu mnataka nchi wakati hamjui hata sherehe tu za kitaifa tarehe zake
Mbona unaniattack hivyo. Mimi mwenyewe siko na upinzani.

Mimi niko na Magufuli. 2020/2025. Naamini atamalizia.
 
Amekosea kidogo, ni 8/8/2020 ndio kuchukua fomu.
Ila 8/10/2020 Lissu ana anza mazoezi jinsi ya kuapishwa uwanja wa taifa.
Anaweza akawa sahihi. Kwamba tarehe 10 mwezi wa nane. Huo ni mpangilio. Sema haujazoeleka. Hapo inakuwa ni matter ya kujiongeza.
 
Hii sio taarifa ya chama mkuu acha kutokwa povu. ...taarifa za chama zina viwango vyake si bandiko kama hili
Mpumbavu mkubwa tarehe 8 mwezi wa nane Ni sikuku ya mapumziko kitaifa Ni siku ya nane nane

Imagine Lisu mgombea uraisi na Mnyika katibu mkuu wa chadema hawajui hata sikuku za kitaifa tarehe zake na wanataka uraisi!!!

Wanaongea wajinga wawili katibu mkiu wa Chadema na mjinga mwemzie Lisu kuwa fomu tukachukue siku ya nane nane!!!
 
Chadema nwako careless ndio maana wakachagua Lisu badala ya Nyalandu.Tarehr zote aluzoandoka mleta za uongo kuanzia heading Hadi ndani kwenye content yake
Hata usemeje, watu hawarudii kosa la nyuma
IMG_20200803_214916.jpg
 
Kila la heri na nina amini watafuata taratibu na kanuni za Tume ya Uchaguzi, kinyume cha hapo, watakutana na mzee wa "watapata taabu sana"!
Mzee wa "Watapata taabu sana" ana mjua Commander in chief ajaye November hivyo unadhani hazimyoshi?
Mwenzie Mambosasa alishastuka mapema
 
Mzee wa "Watapata taabu sana" ana mjua Commander in chief ajaye November hivyo unadhani hazimyoshi?
Mwenzie Mambosasa alishastuka mapema
OK tusubiri tuone si ni wiki hii, tarehe 08 Agosti, 2020? Ya nini tuandikie mate?
 
... sijaelewa! 08/08 (Nane Nane) si siku ya mapumziko? NEC watakuwa ofisini kutoa fomu? Sina hakika. Kuweni makini msijepigwa TKO mapema asubuhi! Shetani anawawinda kwa kila hali; kosa dogo sana ni sherehe kwake! Tayari kuna madai eti mume-edit wimbo wa taifa!
Halafu ni jumamosi
 
Chadema utawaweza? Ni kweli wameedit wimbo wa taifa na Happ usikute wanafanya hivo makusudi I'll badae watangaze tume imefunga ofisi ili wasipate fomu
je huu nao c ni utopolo wa lumumba
 
Sio heading huyo mjinga mwenzio kaandika ataenda chukua fomu tarehe 8 mwezi wa nane alivyo mjinga hajui hiyo siku Ni sikukuu ya kitaifa ya nane nane ila Chadema hatuwashangai kwa huu ujinga huwa hamshiriki mambo ya kitaifa kwa hiyo. Nyie na Lisu wenu mko zero mnajua siku hiyo Ni ya kazi!!! Mambo ya kitaifa mko sifuri Halafu mnataka nchi wakati hamjui hata sherehe tu za kitaifa tarehe zake
Wewe ndio mjinga hujui kitu umejaa chuki na sumu moyoni.
Tume imeshatangaza uchukuaji wa fomu na urejeshaji tokea 5/8 hadi 25/8 na Siku hizo imeagizwa ofisi kutofungwa nchi nzima bila kujali sikukuu au weekend.
Sasa wewe vuvuzela unakuja na nyimbo gani hapa? Ukiwa hujui kitu unyamaze hata kama moyo wa chuki unakusukuma.
 
Tarehe 8 mwezi wa 8 Ni sikukuu ya kitaifa inafahamika na kila mtu kasoro nyie wajinga wa Chadema .Siku hiyo sio siku ya kazi mpumbavu wewe
Nimepata udhibitisho toka Tume kuwa ofisi hazitafungwa hadi mwisho wa zoezi la kurudisha katika muda wa kazi siku zote.
Kwa hiyo tuliza boli
 
Back
Top Bottom