mara oktoba mara.agosti,Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mara oktoba mara.agosti,Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
Kila la heri na nina amini watafuata taratibu na kanuni za Tume ya Uchaguzi, kinyume cha hapo, watakutana na mzee wa "watapata taabu sana"!Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
Umepanic eh ?limekushuka
Mbona unaniattack hivyo. Mimi mwenyewe siko na upinzani.Sio heading huyo mjinga mwenzio kaandika ataenda chukua fomu tarehe 8 mwezi wa nane alivyo mjinga hajui hiyo siku Ni sikukuu ya kitaifa ya nane nane ila Chadema hatuwashangai kwa huu ujinga huwa hamshiriki mambo ya kitaifa kwa hiyo. Nyie na Lisu wenu mko zero mnajua siku hiyo Ni ya kazi!!! Mambo ya kitaifa mko sifuri Halafu mnataka nchi wakati hamjui hata sherehe tu za kitaifa tarehe zake
Haiingii akilini kampeni zianze tarehe 26 August halafu fomu ya kuwania Urais tarehe 8 octoberKatibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
Amekosea kidogo, ni 8/8/2020 ndio kuchukua fomu.Tarehe ipi sahihi? 08 Oktoba 2020 au 08 Agosti 2020?
Anaweza akawa sahihi. Kwamba tarehe 10 mwezi wa nane. Huo ni mpangilio. Sema haujazoeleka. Hapo inakuwa ni matter ya kujiongeza.Amekosea kidogo, ni 8/8/2020 ndio kuchukua fomu.
Ila 8/10/2020 Lissu ana anza mazoezi jinsi ya kuapishwa uwanja wa taifa.
Mpumbavu mkubwa tarehe 8 mwezi wa nane Ni sikuku ya mapumziko kitaifa Ni siku ya nane nane
Imagine Lisu mgombea uraisi na Mnyika katibu mkuu wa chadema hawajui hata sikuku za kitaifa tarehe zake na wanataka uraisi!!!
Wanaongea wajinga wawili katibu mkiu wa Chadema na mjinga mwemzie Lisu kuwa fomu tukachukue siku ya nane nane!!!
Hata usemeje, watu hawarudii kosa la nyumaChadema nwako careless ndio maana wakachagua Lisu badala ya Nyalandu.Tarehr zote aluzoandoka mleta za uongo kuanzia heading Hadi ndani kwenye content yake
Mzee wa "Watapata taabu sana" ana mjua Commander in chief ajaye November hivyo unadhani hazimyoshi?Kila la heri na nina amini watafuata taratibu na kanuni za Tume ya Uchaguzi, kinyume cha hapo, watakutana na mzee wa "watapata taabu sana"!
😍😍Dodoma mjiandae kumpokea rais mtarajiwa
OK tusubiri tuone si ni wiki hii, tarehe 08 Agosti, 2020? Ya nini tuandikie mate?Mzee wa "Watapata taabu sana" ana mjua Commander in chief ajaye November hivyo unadhani hazimyoshi?
Mwenzie Mambosasa alishastuka mapema
Halafu ni jumamosi... sijaelewa! 08/08 (Nane Nane) si siku ya mapumziko? NEC watakuwa ofisini kutoa fomu? Sina hakika. Kuweni makini msijepigwa TKO mapema asubuhi! Shetani anawawinda kwa kila hali; kosa dogo sana ni sherehe kwake! Tayari kuna madai eti mume-edit wimbo wa taifa!
je huu nao c ni utopolo wa lumumbaChadema utawaweza? Ni kweli wameedit wimbo wa taifa na Happ usikute wanafanya hivo makusudi I'll badae watangaze tume imefunga ofisi ili wasipate fomu
Wewe ndio mjinga hujui kitu umejaa chuki na sumu moyoni.Sio heading huyo mjinga mwenzio kaandika ataenda chukua fomu tarehe 8 mwezi wa nane alivyo mjinga hajui hiyo siku Ni sikukuu ya kitaifa ya nane nane ila Chadema hatuwashangai kwa huu ujinga huwa hamshiriki mambo ya kitaifa kwa hiyo. Nyie na Lisu wenu mko zero mnajua siku hiyo Ni ya kazi!!! Mambo ya kitaifa mko sifuri Halafu mnataka nchi wakati hamjui hata sherehe tu za kitaifa tarehe zake
Ni 8/oktoba au 8/agosti ??Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
Nimepata udhibitisho toka Tume kuwa ofisi hazitafungwa hadi mwisho wa zoezi la kurudisha katika muda wa kazi siku zote.Tarehe 8 mwezi wa 8 Ni sikukuu ya kitaifa inafahamika na kila mtu kasoro nyie wajinga wa Chadema .Siku hiyo sio siku ya kazi mpumbavu wewe
Exaggeration. Acha upotoshajiKatibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
ndio.mbwehaUmepanic eh ?
Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.