CHADEMA VIA MBOWE BLOCKED POLICE TO INTERROGATE THE DRIVER WHO WAS A KEY WITNESScomte unataka proof gani?
Ben Sanane got lost in very strange environment yanayoonesha kila dalili kuwa the govt is responsible kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama...
Moreover, kama ilivyo Kwa Tundu Lissu, vyombo hivyo (i.e polisi) havijafanya uchunguzi wowote wa maana zaidi ya kutoa porojo Kila siku...!!
What proof do you want...??
Usiseme hawapo, wapo sio watanzania wote ila CHADEMA wote walishangilia kifo cha JPM hilo halina ubishi na Mungu alionaAcha kuwasingizia waTanzania uwongo.
Hakuna mtanzania mwenye akili na mpenda maendeleo alie furahiya kifo cha Magu.
Furaha ni kwa nyie vyeti fek na wasaliti wachache wenye access ya JF.
Do you have any power to block the police to do their job...?CHADEMA VIA MBOWE BLOCKED POLICE TO INTERROGATE THE DRIVER WHO WAS A KEY WITNESS
Kwani nani alimpiga nani hiyo RisasiKwaiyo kupiga Mtu risasi 16 na mtu kutembelea vyuma it just normal things
Unataka kusema hata hawa Panyaroad wanaoua wananchi kwenye utawala huu Samia ndo anawatuma?position yourself katika mazingira ya lisu au kaka/mdogo wa watu waliopotezwa enzi za jamaa kama ben saa nane na wengine wengi, achilia mbali walioteswa na jpm as mfariji mkuu alipotezea tu.
Kwa Lissu hata ibada za kumuombea polisi waliwafuata watu katika nyumba za ibada wasimuombee lisu apone.
Kimsingi utawala wa jpm ulitaka Lisu afe tu.....then try to adjust your lame argument
Umeongea ukweli mtupu bro. Hata Chachawangwe angeuwawa kipindi cha Magufuli, lawama za kifo chake angetupiwa Magufuli huku wahusika wa kifo chake wakiendelea kucheka na familia yake, kama wanavyokula, kunywa na kucheka na familia ya Lisu leo.
Juhudi zake na umaarufu wake ndan ya chama chake zilimfanya bwana yule ahofie kiti chake, ndomaana hata Sumaye pamoja na kwamba ana ulinzi wake lakini alionywa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi wake. So ijekuwa Lisu anaezurura peke yake!
Siku ya hukumu au kiama (kama ipo) tutaona mengi hata yale ambayo hatukuyatarajia au kuyafikiria.
CHADEMA VIA MBOWE BLOCKED POLICE TO INTERROGATE THE DRIVER WHO WAS A KEY WITNESS
Sasa hayo maneno yanakuwaje ya kushangilia wakati maana yake siyo hiyo? Kwanini Lissu alidhmbuliwa kwa risasi yeye alisema nini kumfaruji na hata kumpa pole hata kama ni kwa unafiki?Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).
Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
Sasa hayo maneno yanakuwaje ya kushangilia wakati maana yake siyo hiyo? Kwanini Lissu alidhmbuliwa kwa risasi yeye alisema nini kumfaruji na hata kumpa pole hata kama ni kwa unafiki?
Ungevaa viatu vya Tundu Lisu wala usingetapika uharo huu ulioandika hapa! Tundu Lisu ni binadamu kama wewe na mimi na tusingetarajia aoneshe hisia tofauti na hiyo ukizingatia yote aliyopitia!!!Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).
Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
Naona umezaliwa kwa ajili ya kufanywa jalala au gunia la kutupiwa uongo wa viongozi wako wa chama.Ukiwa na serikali dhaifu na ya hovyo, tena isiyojali usalama na uhai wa raia wake hayo yote yanaweza kutokea.
Jiulize na nani alipaswa kufanya uchunguzi wa matukio yote?
Je, yalifanyika? Majibu yakoje?
Kama serikali hiyo hiyo ilizuia hata wale waliotaka kufanya maombi kwa waliokumbwa na majereha unaisemeaje? Huoni kuwa ni dhalimu dhidi ya raia wake!
Tumia kichwa chako kufikiri sio kufugia chawa na wewe kuwa chawa.
Penda haki, na itimize kwa kufuata mikondo ya kutoa haki. Sio kuchukua sheria mkononi na kujeruhi ama kutoa uhai kwa wale wasiungana nanyi.
I didn't ask any help from you either....Sorry, I cannot find a way to be of any help to you.