RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,047
- 521
Na siasa haiko hivyo sasa, siasa ni kuteka umma, hasa kwa vitu visivyo na madhara km hivyo.Lissu anayo haki ya kusema hivyo Kwani yeye anaamini kuwa chanzo cha yeye kutaka kuuawa ni Magufuli, ikumbukwe binadamu amezaliwa na roho ya kisasi hivyo kifo cha JPM kwake Lissu ni faraja na anguko la adui zetu ni faraja kwetu.
Hata Mimi kuna baba ndogo tunaendesha naye kesi anang'ang'ania nyumba ya baba yetu, kwangu Mimi huyu ni adui, nikisikia Leo hii kafa, wallah lazima nichinje mbuzi na kukesha baa nikikunywa bia, kwangu Mimi huyu baba ndogo ni adui yangu kifo chake furaha kwangu.
Maisha ndio yalivyo hapa dunia, mwacheni aseme ya moyoni
BTW Km JPM alihusika kny shambulio lake, basi ni fursa kwake kujiuliza kwa nn JPM alitaka kutoa roho yake,
Je, ni kwa sababu aliona atamsumbua uchaguzi wa 2020?
Au ni kwa sababu alikuwa anahujumu jitihada za Rais kuikomboa nchi kutoka katika unyoywaji kny biashara ya madini?
Huko MIGA tulishitakiwa?
Tulinyolewa kwa chupa kama alivyotishia?
AMSAMEHE NA AKILI KUFANYA KOSA LILILOSTAHILI KUPIGWA VITA.
Na apongeze kwa kutaja mazuri yaliyofanywa na JPM hasa kny madini, hatushi kwa sheria tu.