Hapo bado kwangu mimi siwezi kusema mhusika ni Magufuli! Hilo tukio linaweza kuwa na muunganiko wa watu wa CHADEMA na baadhi ya viongozi wa system!Lakini hiyo haizuii nia ya Magu kutaka kumuua Lissu. Risasi 60 Kama anaua koboko.
Pia ni kwa nini baadhi ya wanaCHADEMA kama Kubenea akusema wanaotaka kujua Ben Saanane alipo wakamuulize Mbowe!
Kuna uwezekano kuna watu walikuwa wanapotezwa na viongozi wa CHADEMA ili kuchafua uongozi wa Magufuli!