Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote


Tutahakikishaje hizi habari ni kweli?

Kikao gani kilimteua kuwa Makamu Mwenyekiti?

Je, kama kweli atafutwa uanachama, kikao hicho hicho kitamvua umakamu mwenyekiti?
 
sawa wasimfute tu uzima ili tuendeleze hoja za muungano ,ila uvccm mbona hamumsaidia makala uenezi wa chama
 
Moderator kwa kuachia nyuzi za kishirikina kama hizi zisizo na chembe ya ukweli jukwaani, Hali ya hewa ikichafuka msimlaumu mtu.

Kikao cha Kamati kuu kimetangazwa hadharani na ajenda zake ziko wazi, huu ujinga wa huyu jamaa mnauacha hapa ili iweje?
Wewe usitishe watu,huo ndio ukweli maana mbowe amejiapiza kufia kwenye kiti
 
Wanasiasa wote wanajali matumbo yao, watajua wenyewe hata wakishikiana mawe.
Muhimu ni sisi wananchi kuwakataa kwa kupata katiba bora itakayosimamia haki na utawala ubora
 
Wanaccm wenzangu mliopo humu!jibuni hoja zake Kwa maslahi mapana ya watz!!

Hasta akifutwa uanachama kwani kero za muungano zitaisha!!?wizi na ubadhirifu uatakoma serikalini!!?katiba mpya itapatikana!!?
Lissu anazo hoja,lkn maajabu ni kuwa wenzio wamemgeuka inabidi atiwe moyo ili kuboresha muungano
 
hapo tatizo sio Lisu tu bali ni genge zima la uongozi wa Chadema.
ndio maana Hayati JPM alilitokomeza hili genge la kihuni maana halikuwa wala halijawa na kamwe halitokuwa na nia njema na Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…