Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

Lissu alijaribu kupora chama cha mkwe? Sumu haionjwi.
 
Wanajukwaa habari zenu?

Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.

Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.

Ngoja tusikilizie.
Hayo ndiyo matatizo ya kuzaliwa vichakani na akili unaziacha huko huko!
 
Wanajukwaa habari zenu?

Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.

Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.

Ngoja tusikilizie.
Ndoto za mchana hizi zitawalaza bila viatu ccm
 
Wanajukwaa habari zenu?

Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.

Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.

Ngoja tusikilizie.
Ukute wakati unaandika uhalo huu umevaa dela bila kyupi
 
Nimefurahi sana kukuona Mzee Kichuguu,nimekuona siku nyingi sana humu,nondo zako huwa zimenyooka,safi sana Bwana Kichuguu.
Asante sana ndugu yangu; hakuna kijiji kischokuwa na wazee! JF ni kijiji, kwa hiyo akina Kichuguu hawakosekani.
 
Huwa unasoma na kukielewa ulichokiandika kabla ya kupost kweli!!?
Pole sana kwa kuwa hivyo ulivyo.

Kwa kasi ya 6G

Ieleweke simuombei Binadamu yeyote kuumizwa kwa namna yeyote ile.

Kilichomtokea Laigwanaan Lissu ni cha kulaaniwa. Mbaya zaidi ni kumtumia kwa malengo ya kuichafua Tanzania kwa Ubinafsi wao. Walaaniwe.

Ikumbukwe pia, Lissu alidai anawajua waliompiga risasi, kwamba aliwaona. Ni suala la muda tu, watatajana jinsi walivyotaka kuchafua mazingira ya nchi. Na sasa ndio hao hao wanaotaka Lissu ndie aje kuwa Raisi.

Wanaharakati wa CHADEMA na Masaliti wa Nchi hii.

Waache kutaka kujificha nyuma ya pazia la Maridhianoq
 
Tundu Lissu ndo anatakiwa kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa Rais 2025.
 
Hivi bado mashoga wapo Tanzania....hii posti ya kishoga vile
 
Asante sana ndugu yangu; hakuna kijiji kischokuwa na wazee! JF ni kijiji, kwa hiyo akina Kichuguu hawakosekani.
Sawa mzee,sisi wengine uzee unafanya tuendelee kupambana na vyama vya upinzani
 
Back
Top Bottom