Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VICHAA MNAZIDI KUONGEZEKAWanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.
Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.
Ngoja tusikilizie.
Lissu amepigwa risasi akiwa chadema na atafia chademaIla we jamaa sijui ni kwa nini huwa huoni hata aibu kila ramli zako zinapoenda tofauti na matarajio yako. Ulikuja tena na bandiko kuwa Mchungaji Msigwa atatimka Chadema muda wowote, sasa ni miaka na hatuoni dalili, hujakoma tu, leo unakuja na ramli ya Tundu Lissu, hivi hujioni kama wewe ni mpumbavu?
Hamna shida mzee,nimepenyezewa hizo kwahiyo wacha ziwe tetesiWafuasi watiifu wanafuatilia kwa karibu tetesi hizi kuujua ukweli wake!
Maoni yakoUkiwa ccm tu tosha unakuwa bwabwa kichwani
Mimi sio mpumbavu,wewe ni mpumbavu sababu huelewi maana ya tetesi,karibu ccmIla we jamaa sijui ni kwa nini huwa huoni hata aibu kila ramli zako zinapoenda tofauti na matarajio yako. Ulikuja tena na bandiko kuwa Mchungaji Msigwa atatimka Chadema muda wowote, sasa ni miaka na hatuoni dalili, hujakoma tu, leo unakuja na ramli ya Tundu Lissu, hivi hujioni kama wewe ni mpumbavu?
Wewe endelea kutukana tu,mdee anarudishwa kuwa bosi wakoTATIZO VIJANA WA CCM MNAFIKIRIA MAMBO NYETI KWA KUTUMIA MAKALIO
Wewe huna unalojua pole sana dogo,karibu ccmKama ulisikia huwa kuna hatua za mwanzo za mtu kupatwa na uwendawazimu, ndiyo hii uliyo nayo wewe kwa sasa. Kitakachofuatia, hatutashuhudia uozo wa threads zako hapa jukwaani. Utakuwa unakuka majalalani na kutembea na suruali kichwani.
Kama una ndugu wa karibu, wakaribie haraka sana, wakufikishe Milembe hospital. Matibabu ya mapema, mara nyingi hutoa matokeo mazuri. Ukipuuza, shauri yako.
Endelea kutetea mafisadi yaliyojisimika chadema, hupewi hata mia ya pesa chafuVICHAA MNAZIDI KUONGEZEKA
Lissu Afutwe uanachama kwa kosa lipi ccm acheni kutumia pesa kuivuruga chadema tumeshtuka,miaka 20 mnahonga watu wetu rushwa,rushwa,rushwa stupid! isingekuwa human resource ya chadema iliyoko huko ccm iliishakufa zamani.
Mimi sio mpumbavu,wewe ni mpumbavu sababu huelewi maana ya tetesi,karibu ccm
Wewe huna unalojua pole sana dogo,karibu ccm
Hahahaha 😂 😂 😂Afadhali hata ingekuwa na wajinga, huenda siku moja wangeondokana na ujinga, lakini hawa wa aina ya mleta mada, wamefikwa na uwendawazimu wa kiwango cha juu, badala ya kuwahi matibabu Milembe, wao wanakuja JF!!
Ngoja tusikie toka wapi tena si umeshasemaWanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.
Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.
Ngoja tusikilizie.
Uhuru news paperSource?