Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu fever wapi. Watu wanaenda kushangaa Bionic man tu.Baada ya Covid 19 sasa umeingia uhonjwa mwingine hatari "Lisu fever" yaani tayari umekumba 50% ya wa-TZ.
But kura za wizi zitakuwepo! Usijizime data, hakuna kupita kinape na kimajaliwa au kimakamba yaani bila kupingwa safari hii!Lissu fever wapi. Watu wanaenda kushangaa Bionic man tu.
Jiulize, hivi kama asingekuwa anaropoka hovyo huko kuwa alicharangwa risasi mara 16 mara 32, mara 40 watu wangeenda kumwona? Ama kutoa matamshi ya uchochezi na ya kibaguzi?
CHADEMA mlikiri kuwa Lissu ni "Kivutio" chenu, itoshe hivi majuzi nimesikia kauli nyingine kuwa Lissu ni Mvuto.
Watu wanahitaji kuvutiwa na Sera na sio Bionic man.
Safari hii hakuna kura za huruma.
Poor propaganda! Rudi shuleni ukasome upya! Lissu ni chuo kikuu kinachotembea msikilize kwa makini kwani ana majibu ya mtihani wako!Sababu nina baadhi ya taarifa
kabisa.hapo tatizo sio Lisu tu bali ni genge zima la uongozi wa Chadema.
ndio maana Hayati JPM alilitokomeza hili genge la kihuni maana halikuwa wala halijawa na kamwe halitokuwa na nia njema na Taifa letu.
Wafuasi watiifu wanafuatilia kwa karibu tetesi hizi kuujua ukweli wake!Wanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.
Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.
Ngoja tusikilizie.
Mwisho akapotea yeye. Safi sanahayati JPM hakukosea.
Ila we jamaa sijui ni kwa nini huwa huoni hata aibu kila ramli zako zinapoenda tofauti na matarajio yako. Ulikuja tena na bandiko kuwa Mchungaji Msigwa atatimka Chadema muda wowote, sasa ni miaka na hatuoni dalili, hujakoma tu, leo unakuja na ramli ya Tundu Lissu, hivi hujioni kama wewe ni mpumbavu?Wanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.
Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.
Ngoja tusikilizie.
Kwa kasi ya 6GBut kura za wizi zitakuwepo!
Usijizime data, hakuna kupita kinape na kimajaliwa au kimakamba yaani bila kupingwa safari hii!
Ieleweke simuombei Binadamu yeyote kuumizwa kwa namna yeyote ile.Again, Lissu kuwa bionic siyo kwa ridhaa yake Bali kwa matakwa ya binadamu mwenzake ambaye anaugulia maumivu yasiyo kifani moyoni mwake na ipo siku ataomba mic popote redioni au kanisani
amuombe msamaha ili nafsi yake ipone.
Fanya ukalale bwamdogo. kesho shulePoor propaganda! Rudi shuleni ukasome upya! Lissu ni chuo kikuu kinachotembea msikilize kwa makini kwani ana majibu ya mtihani wako!
Na usichokijua ni kwamba, watanganyika wote wanamwona Lissu ni nabii wao wanamfuatilia na kumuunga mkono kudai Tanganyika yao.
Kwa uchaguzi gani boss?CHADEMA ikimtoa Mbowe, bas itapata viti vingi sana 2025
Source Katibu Mwenezi Mboga mboga.Wanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.
Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.
Ngoja tusikilizie.
Umeongea utoto gani hapa?Kwa kasi ya 6G
Ieleweke simuombei Binadamu yeyote kuumizwa kwa namna yeyote ile.
Kilichomtokea Laigwanaan Lissu ni cha kulaaniwa. Mbaya zaidi ni kumtumia kwa malengo ya kuichafua Tanzania kwa Ubinafsi wao. Walaaniwe.
Ikumbukwe pia, Lissu alidai anawajua waliompiga risasi, kwamba aliwaona. Ni suala la muda tu, watatajana jinsi walivyotaka kuchafua mazingira ya nchi. Na sasa ndio hao hao wanaotaka Lissu ndie aje kuwa Raisi.
Wanaharakati wa CHADEMA na Masaliti wa Nchi hii.
Waache kutaka kujificha nyuma ya pazia la Maridhiano.
Wewe umeongea ukubwa gani?Umeongea utoto gani hapa?
Ukiona hivi ujue elimu ya Lissu imefika Hadi kwako! Na ulivyo zuzu huzijui hata siku za shuleni! Uchawa ni ujinga, ukatae!Fanya ukalale bwamdogo. kesho shule
TATIZO VIJANA WA CCM MNAFIKIRIA MAMBO NYETI KWA KUTUMIA MAKALIOWanajukwaa habari zenu?
Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.
Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.
Ngoja tusikilizie.
Wanajukwaa habari zenu?

JF inazidi kuwa wajinga wengi sikuhizi