Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

Kuna wakati tukubaliane kuwa Mbowe ana ajenda zake
Mimi kwa uelewa wangu na nikimtizama Kwa nafsi yangu !mbowe sio mpinzani Bali analea taasisi ya upinzani Kwa malengo maalumu ya Dola na sio ya ccm hii ya Sasa labda ile CCM ya kina warioba enzi zile za mwalimu!!

Mbowe ni MTU WA system kwa sana!!ni vile tu zito alijikoroga na yeye angefanana na mbowe kabisa!
 
Kila siku Ccm Chadema
Ebu tuachane na hao wanasiasa uchwara
Tujadili jinsi gani ya kujikomboa sisi watanzania kutoka kwa hawa Mafisadi waliojificha kwenye mgongo wa Utawala
just organise and assemble yourselves bihind your able, and visionary young leaders.....

and for sure your economic, social and political welfares will simply be attained and sustained by yourselves but, through that leader 🐒

don't forget praying for yourselves and your able leaders 🐒
 
Moderator kwa kuachia nyuzi za kishirikina kama hizi zisizo na chembe ya ukweli jukwaani, Hali ya hewa ikichafuka msimlaumu mtu.

Kikao cha Kamati kuu kimetangazwa hadharani na ajenda zake ziko wazi, huu ujinga wa huyu jamaa mnauacha hapa ili iweje?
tuliza ball, kua mstahimilivu na mwenye subra. mchecheto wa nini dhidi ya political statements and rumors 🐒

let's wait and see the outcomes za kikao. acha kubabaika kamanda 🐒
 
Hata akivuliwa uanchama sio kila mtu anaenda na upepo wa vyama bali fikra za mtu.

Fikra za Lissu zitaishi vyama vinapita leo hii chama kama KANU kilivyo hoi , mtu ungemwambia kilivyo sasa miaka 30 nyuma usingaliamini kuhusu mdororo kilionao kwa sasa.

Ndio maana wanamageuzi tunataka mgombea huru marehemu mchungaji Mtikila alipigani hiki kitu ila CCM mnaogopa sana ifike wakati wawepo wagombea huru tutasikiliza sera bila kujali mtu anasimamia kwa bendera ipi.
 
tuliza ball, kua mstahimilivu na mwenye subra. mchecheto wa nini dhidi ya political statements and rumors [emoji205]

let's wait and see the outcomes za kikao. acha kubabaika kamanda [emoji205]
Shida ya Machadema muda wote vichwa vimewaka moto, utulivu zero . [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanajukwaa habari zenu?

Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.

Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.

Ngoja tusikilizie.
Baada ya Covid 19 sasa umeingia uhonjwa mwingine hatari "Lisu fever" yaani tayari umekumba 50% ya wa-TZ.
 
Wanajukwaa habari zenu?

Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake.

Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea kuwaburuza wenzie.

Ngoja tusikilizie.
Yaani Lissu ndo anafutwa uanachama, afu Mbowe ashike adabu. Kivipi sasa?

Wafuasi wa siasa sijawahi kuwaelewa hata siku moja, nawachukuliaga kama wafuasi wa Mwamposa tu au Kibwetere
 
Back
Top Bottom