Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

Lissu alijaribu kupora chama cha mkwe? Sumu haionjwi.
 
Hayo ndiyo matatizo ya kuzaliwa vichakani na akili unaziacha huko huko!
 
Ndoto za mchana hizi zitawalaza bila viatu ccm
 
Ukute wakati unaandika uhalo huu umevaa dela bila kyupi
 
Nimefurahi sana kukuona Mzee Kichuguu,nimekuona siku nyingi sana humu,nondo zako huwa zimenyooka,safi sana Bwana Kichuguu.
Asante sana ndugu yangu; hakuna kijiji kischokuwa na wazee! JF ni kijiji, kwa hiyo akina Kichuguu hawakosekani.
 
Huwa unasoma na kukielewa ulichokiandika kabla ya kupost kweli!!?
Pole sana kwa kuwa hivyo ulivyo.

 
Tundu Lissu ndo anatakiwa kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa Rais 2025.
 
Hivi bado mashoga wapo Tanzania....hii posti ya kishoga vile
 
Asante sana ndugu yangu; hakuna kijiji kischokuwa na wazee! JF ni kijiji, kwa hiyo akina Kichuguu hawakosekani.
Sawa mzee,sisi wengine uzee unafanya tuendelee kupambana na vyama vya upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…