Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

Kumbukeni na Ile kesi aliyofungua mwandishi habari ,kuhusu ,akina azory gwanda na akina lisu
 
Hayo makosa yaliotendeka hata kwa katiba hii hii wahusika wanaweza kuwajibishwa ila kutokana na katiba kuwa na mnyololo wa kulindana ndio ilo linashindikana sasa katiba mpya itakuja kuondoa huo mnyonyoro
Katiba hii ni mtihani sana
 
Serikali inajua muhusika.

Ndio maana imepiga kimya. Polisi walishachukua vidhibiti na wanajua kila kitu.
 
H
Hayupo mwanasheria kama Lissu hapa nchini hata ukibinuka makalio juu utaishia kujiny.....ea
 
atachukuaje gari hajatoa ushahidi polisi dereva hajatoa ushahidi kesi bado haijakamilika unataka gari vipi file lako bado halijafungwa
Hii nayo ni Point ya Ushindi Police Tanzania na RPC wa Dodoma watambae nayo dhidi ya Tundu Lissu kuhusu kulitaka Gari lake. Nimeipenda na imekaa vyema.
 
Nje ya hayo yote tunayoyajadili , kisheria anatakiwa kupewa gari yake,, kwa maana kama uchunguzi ulishafanyika au haukufanyika hiyo ni juu ya Serikali ,. Lakini anatakia kupewa gari lake...
 
kabsa bro Lissu aishtak serikal pia mm nawachukia wote wanaomnanga Lissu wakat altendewa unyama.Lissu kwa kuungan na watz walioguswa basi tuungane kupnga ukatil[emoji120]
 
Anajua kabisa hawezi kupewa gari, kaona amekosa upepo anatafuta kiki ili arudi ulaya kula maisha
 

Katiba ni sheria mama na kuna usemi wanasheria huwa wanasema “The law does not act retrospective”.
Ikitungwa itaanzia hapo ya nyuma hayahusiki so Makonda ataendelea kupeta tu.
Hata kama hatupendi ndio ukweli uko hivyo.
 
Great thinker!
 
chadema ni mbuzi kweli wanafikiri katiba mpya itamuweka mbowe madarakani na wachagga watanufaika ndio mtazidi kuchakaa
Katiba mpya itashughulika ipasavyo na mambuzi haya.. Ni mwarobaini wa ujanja ujanja na utapeli wa CCM kwa miaka yote

 
Wewe chawa huna akili kabisa. Kwa akili yako kama ya kuku inamaana kama wangekufa nani angehojiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…