Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Ha ha ha kila mtu anaelezea anachojua yeye, wengine wanajua zaidi ya Lisu mwenyewe.Wabongo wape neno tu hata Moja,watakujazia hata kurasa 1000 zenye tafsiri Kwa hisia zao tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha kila mtu anaelezea anachojua yeye, wengine wanajua zaidi ya Lisu mwenyewe.Wabongo wape neno tu hata Moja,watakujazia hata kurasa 1000 zenye tafsiri Kwa hisia zao tu!
Kuna aina ya uhalifuHamna kitu hapo, kwani ni mara ya kwanza polisi kuachia gari lilipatwa na uhalifu?
Ndivyo inatakiwaUnajuaje kama hawakuchukua kwa ajili ya ushahidi? Imagine nguo zenye damu wamezitunza tokea 2017 mpaka leo
Imefika wapi?Kumbukeni na Ile kesi aliyofungua mwandishi habari ,kuhusu ,akina azory gwanda na akina lisu
Katiba hii ni mtihani sanaHayo makosa yaliotendeka hata kwa katiba hii hii wahusika wanaweza kuwajibishwa ila kutokana na katiba kuwa na mnyololo wa kulindana ndio ilo linashindikana sasa katiba mpya itakuja kuondoa huo mnyonyoro
Talking like SabayaNa asianze kutafuta huruma maana keshasoma upepo watanzania wengi hawana taimu nae...
Serikali inajua muhusika.Halafu huwa najiuliza tu, siku ile dereva wa lissu angeweza kuchukua hata ushahidi wa risasi make naimani nyingi zilimkosa mlengwa make wale wajinga walikuwa wanazimimina kiboya sana kama kojo la mlevi.
Zile risasi zingesaidia kutambua kampuni zilikotengenezwa na ziliingizwa nchini na nani na kabla ya kutumiwa zilihifadhiwa wapi?
Mwamba Erythrocyte anakuambia yule mwanasheria ambaye hajawahi kuwepo kwenye maziwa makui tangu ardhi na mbingu hazijaumbwa.Lissu anajua sheria kuliko mtu yeyote katika nchi hii
Hayupo mwanasheria kama Lissu hapa nchini hata ukibinuka makalio juu utaishia kujiny.....eaMsimfanye Lissu ndo wa kwanza kusoma sheria hapa nchi. Sheria zipo wazi na taratibu za kufuata katika mazingira kama hayo zinajulikana.
Hivi unadhani tukio kama hilo lingetokea ndani ya nyumba polisi wangezuia hiyo nyumba isitumike tena kusubiri mwenendo wa uchunguzi?
Hii nayo ni Point ya Ushindi Police Tanzania na RPC wa Dodoma watambae nayo dhidi ya Tundu Lissu kuhusu kulitaka Gari lake. Nimeipenda na imekaa vyema.atachukuaje gari hajatoa ushahidi polisi dereva hajatoa ushahidi kesi bado haijakamilika unataka gari vipi file lako bado halijafungwa
Nje ya hayo yote tunayoyajadili , kisheria anatakiwa kupewa gari yake,, kwa maana kama uchunguzi ulishafanyika au haukufanyika hiyo ni juu ya Serikali ,. Lakini anatakia kupewa gari lake...Haya Majiniasi ( Akili Kubwa ) wa JamiiForums hebu njooni mtupe Ujiniasi wenu katika hili Sisi Mangumbaru ( Akili Ndogo ) kwani wenye Akili Kubwa wanadai katika hili kuna mahala Tundu Lissu Kawatega lakini pia kuna Hesabu Kali mno inachezwa hapa ambayo ikikosewa tu Mzanzibari atadharaulika na hatoamini.
swadaktaNje ya hayo yote tunayoyajadili , kisheria anatakiwa kupewa gari yake,, kwa maana kama uchunguzi ulishafanyika au haukufanyika hiyo ni juu ya Serikali ,. Lakini anatakia kupewa gari lake...
kabsa bro Lissu aishtak serikal pia mm nawachukia wote wanaomnanga Lissu wakat altendewa unyama.Lissu kwa kuungan na watz walioguswa basi tuungane kupnga ukatil[emoji120]Dereva kabaki na mke wake kule Brussels ,Basi kama gari ni muhimu kurudishwa basi na dereva nae muhimu sana apatikane atoe his side of the story. Haiwezekani story ya Lissu ya upande mmoja ikajumuisha tukio lote na huyo dereva nae ni muhimu, na pia inatakiwa kuwapata wale wanaokuwaga walinzi pale waseme ni nani aliwaondoa siku ya tukio. eneo kama lile lina rota ya walinzi wa siku hio, waulizwe walinzi wa siku ile kwanini hawakua kazini na kwa amri ya nani?? Kitu kibaya zaidi Lissu anamsema Magufuli- rip kama yeye ndio aliefanya tukio , aseme ni serikali ya Tanzania ili iwe wazi na kuipeleka kortini kama serikali sio mtu binafsi. ni nini anaogopa kufanya hivyo???Maana kesi ikifanyika basi picha loote litajulikana. Kuna mengi kwenye hii issues sio hayo Tundu aliosema tu tena kwa upande wake.
Tuanzie kwenye CCTV camera nani nani aliziondoa?Ok, Ok na dereva wa gari hilo yupo wapi??? tuanzie hapo.
Paul Albert
Kazi anayo
Katika mahojiano kadhaa ya lisu kuna mahali alisema kwanini Sabaya pekee yake
Wakati kuna mashetani kumzidi yapo uraiani kuna ajenda gani
Akaulizwa mfano wa mashetani hayo akamtaja Makonda
Huwenda kwa sasa Makonda akawa na ulinzi kutoka kwa wakubwa zake lakini kama kweli kuna siku katiba mpya itapatikana ile ambayo watu wanahitaji basi Makonda akimbie hii nchi kwa sababu maisha yake yaliyobaki atamalizia jela
Lisu anasema haki yake ni lazima ipatikane hata kama yeye akifa basi watoto wake wataidai
Ni maana kwamba kupitia katiba ndiyo upo urahisi wa kupata haki kwahiyo kama akifa kabla ya kupatikana katiba
Basi siku moja lazima itapatikana na kupitia hiyo watoto wake watadai haki ya baba yao
Great thinker!Ishu ya risasi ni simple kumbuka kuna nyingine ziliingia mwilini ninaamini fika kuwa zipo na zilitunzwa KWA ushahidi na nyingine zipo mwilini mwake hadi sasa!
KWA hiyo wakizitaka kwaajili ya ushahidi watazipata tu itakuwa zilitunzwa KWA ajili ya ushahidi HUSIKA!!
Katiba mpya itashughulika ipasavyo na mambuzi haya.. Ni mwarobaini wa ujanja ujanja na utapeli wa CCM kwa miaka yotechadema ni mbuzi kweli wanafikiri katiba mpya itamuweka mbowe madarakani na wachagga watanufaika ndio mtazidi kuchakaa
Wewe chawa huna akili kabisa. Kwa akili yako kama ya kuku inamaana kama wangekufa nani angehojiwa?tatizo mama naona kama anaingili jambo hili aiche polisi sasa ifanye kazi zake lissu amrudishe dereva aje atoe ushahidi vipi mimi na wewe tukae kwenye gari siti zetu zimekaribiana risasi 38 dereva asimpate risasi hata moja kwa tena hata kwa bahati mbaya tu, vipi?