Acha habari zako na wewe, unamchafuje aliyejipaka kinyesi wakati keshachafuka.

Kama hapendi mikikimikiki kwa nini kawateka akina Soka Sativa? Kwa nini wamemuua Ali Kibao halafu anasema kifo cha kawaida? Siyo yeye aliyesema wanafanya drama na kujiteka wwnyewe
 
Ignorance is eating Africa. Hili swali niliwahi kupata alama , 💯 %
 
Basi,na Mungu wetu alivyo mkuu , akaamua kesi, leo Victim X bado yupo....👏👏👏
 
..Hili suala SERIKALI imejaribu kulipotezea lakini limegoma kupotea au kusahaulika.

..Na taarifa zilizotoka ktk viungo vya mahakama huko Uingereza kuhusu serikali na Tigo kushirikiana kumdukua Lissu zinaiaibisha nchi yetu.

..Raisi Samia Suluhu achukue maamuzi magumu kulinda HESHIMA ya Tanzania kwa kuwafikisha mahakamani waliohusika kumdukua, na baadae kumshambulia, Tundu Antipas Lissu " Simba wa Tanganyika. "

..Tanzania ni kubwa kuliko genge la wasiojulikana.
 
Kampuni ya Apple,inayotengeneza simu za iphone,miaka michache iliyopita iliigomea F.B.I kulifungua lock simu fulani aina ya iphone iliyokuwa imedondishwa na kijana mmoja aliyekuwa na asili ya kiarabu aliyekuwa anashukiwa kuwa ni gaidi ila alofanikiwa kuikimbia nchi ya Marekani,Apple waligoma katakata kui unlock simu hiyo ambayo F.B.I wenyewe walikuwa wamechemka kulifungua lock yake,Apple walikataa huku wakilondwa na Sheria za kulinda faragha za wateja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…