Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Kwahiyo unamlinganisha nyerere na wakudadavua?
Hakuna hoja, Nyerere aliwahi kuwaambia waandishi wa habari walipomuuliza kuwa "kuna tetesi unataka kumpindua Mwinyi", unajua aliwajibuje? Aliwajibu hivi: Ukisikia tetesi kuwa mimi ndiye baba yako, utakwenda kuandika au kuuliza mama yako? MKUTANO ULIVUNJIKA HAPO HAPO!
Huyu ni public figure, resp-ectable figure, aachane na ushabiki wa JF. She needs to talk sense, not tetesi! Tetesi awaachie "wapuuzi"