Tetesi: Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo, Abdul Nondo naye kuula!

Tetesi: Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo, Abdul Nondo naye kuula!

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo wewe umetoa kama tetesi au umezungumza habari zinazoendelea huko jikoni kwenye majungu ya ubwabwa
 
Unaonekana mgeni siasani, halafu amesema ni tetesi, unless umejisikia tu kumtusi bila kutafakari hoja yake ya kisiasa zaidi.
Asante
Hakuna hoja, Nyerere aliwahi kuwaambia waandishi wa habari walipomuuliza kuwa "kuna tetesi unataka kumpindua Mwinyi", unajua aliwajibuje? Aliwajibu hivi: Ukisikia tetesi kuwa mimi ndiye baba yako, utakwenda kuandika au kuuliza mama yako? MKUTANO ULIVUNJIKA HAPO HAPO!
Huyu ni public figure, resp-ectable figure, aachane na ushabiki wa JF. She needs to talk sense, not tetesi! Tetesi awaachie "wapuuzi"
 
Mkuu Kaka Wakudadavua, kwanza naunga mkono hoja, ila duh...!. Kiukweli hii kali!.

Hata hivyo asante Kaka Wakudadavua, kutudadavulia hii, umetupakulia ikiwa ya moto moto, kwa jinsi unavyopata taarifa za ndani za vyama, nakuvulia kofia, Musiba atasubiri!, hongera unafanya kazi nzuri Kaka Wakudadavua. Asante tena. Na kiukweli nakukubali sana...basi tuu, kwa vile wewe ni Kaka, ungekuwa Dada, uvumilivu ungenishinda!.

P
Mkuu Pascal....una mambo na visa sana....Ha ha haaa!! Mbona unahimiza sana tujue jinsi/jinsia ya mleta mada!?
 
Hapo penye kuula, inabidi hii mentality ifutiliwe mbali.

Kugeuza nafasi za kuwatumikia wananchi kama nafasi za kujinufaisha ni kosa linalotugharimu.

Flani " Kaula". tuachane na hii kauli.
You are very right. Hii kitu itoke vichwani mwetu. Hatuwezi kuendelea kuon utumishi kama sehemu ya kuula!
 
Hapo penye kuula, inabidi hii mentality ifutiliwe mbali.

Kugeuza nafasi za kuwatumikia wananchi kama nafasi za kujinufaisha ni kosa linalotugharimu.

Flani " Kaula". tuachane na hii kauli.
Kwa wapinzani wadhifa ni kutumbua ruzuku
 
Zitto kabwe, ni mzur aa kutumia fursa.

Zitto anajua kabisa Lissu atampa wabunge, chama kitajengeka zaidi n.k

Lissu ndan ya Chadema ana faida, Lissu atambue kue, kwa hapa tanzania Anapendwa sana sababu yakua mwanachama wa CHADEMA.

Lissu HANA USHAWISHI WA KIPEKEAKE KAMA ALIVYOKUA LOWASSA, LOWASA HATA ASIMAME PEKE AKE NI JESHI ..ILA LISSU HANA HUO UWEZO.

Kama ataenda ACT atakua kapoteza .

Namshauri.

Agombee kupitia CHADEMA...waungane na ACT igombee zanzibar.

Km watafanikiwa, Zitto wampe uPM .

Kinyume nahapo..naona ACT ya Zitto ikijijenga sanaaa !!
 
Hakuna hoja, Nyerere aliwahi kuwaambia waandishi wa habari walipomuuliza kuwa "kuna tetesi unataka kumpindua Mwinyi", unajua aliwajibuje? Aliwajibu hivi: Ukisikia tetesi kuwa mimi ndiye baba yako, utakwenda kuandika au kuuliza mama yako? MKUTANO ULIVUNJIKA HAPO HAPO!
Huyu ni public figure, resp-ectable figure, aachane na ushabiki wa JF. She needs to talk sense, not tetesi! Tetesi awaachie "wapuuzi"
Nje ya mada kamanda
 
Ili mtu aweze to talk sense, hatua ya kwanza kabisa kabla ya yote ni hiyo sense yenyewe, kwanza iwepo, ndipo mtu a talk sense, ikitokea hata hiyo sense yenyewe tuu haipo, then kumtegemea mtu kama huyo a talk sense, hiyo sense ya ku talk itoke wapi?.
P
 
Yaani kweli huyu MTU Wakudadavuwa anatoka atokako na kuja JF kuleta mada about Chadema na Lissu huku Zitto na watu na fikra zenu mnaamini tetesi zake?
Kwani nyie wrote wageni hapa JF na hamumjui Wakudadavuwa?
Poleni sana kwa muda wenu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom