Tetesi: Tundu Lissu kujiunga ACT Wazalendo, Abdul Nondo naye kuula!

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo unamlinganisha nyerere na wakudadavua?
 
Kwa maneno hayo huyu ni lazima atakuwa ke tu na anasema nondo ataula Kuwa yeye anaula.
 
Hapa sa
Duh, hapo umeuwa mkuu, "dola isimame na Chadema". Cku kijani itaungana na gwanda kuimaliza ACT kutakuwa na kupatwa kwa Lumumba.
Sababu ya Zito kumkaribisha Lissu si kuchukua nchi, maana hilo haliwezekani ila ni kutaka ACT kiwe chama kikuu cha upinzani bungeni. Kiweze kukishinda CHADEMA. Hivyo Zito haangaiki na CCM anataka kuivunja CHADEMA. Lissu akitoka CHADEMA maana yake kura za Chadema ZITAKUWA NDOGO na kupoteza nafasi yake bungeni.
 

Huu ni uzi wa 3 kwa leo unaiandama CDM na Lissu!

Ukichoka tuambie!

Nadhani JF iwe inatoa jina la mleta uzi kama preview kabla mtu haja click ili hata asijisumbue ku click!

Ningejua ni Wakudadavua hata ku clikc nisingejaribu!
 
Muha anamfuata Muha mwenzake
 
Abdul Nondo njoo kukanusha ama kukubali ndugu yetu. Ila nimesikia tetesi Nondo kaitwa Ikulu na Jiwe atampatia cheo wakati wowote akimaliza chuo. Nasikia hata kuachiwa kwake ruksa ilitoka kwa Jiwe maana anasema Nondo ninraslimali kubwa kwa Taifa hivyo anahitajika sana CCM akasaidiane nguvu na kina Katambi kuiingiza nchi katika uchumi wa kati wa viwanda
 
Huu ni uzi wa 3 kwa leo unaiandama CDM na Lissu!

Ukichoka tuambie!

Nadhani JF iwe inatoa jina la mleta uzi kama preview kabla mtu haja click ili hata asijisumbue ku click!

Ningejua ni Wakudadavua hata ku clikc nisingejaribu!
Kila uzi unaopanda jf, jina la thread starter lina kuwepo wakati wote.
P
 
Sio kwa phone App mkuu!

Au ni local setting issue?

Lemme check
Sijui labda kwa Symbion, kama unatumia I phone or Black Berry au Windows kama unatumia Nokia, lakini kwa sisi wa Android phone, kila thread inaonyesha jina la thread starter, hivyo kama hataki kusoma threads za Kaka Wakudadavua, you have a choice ila utapitwa na mengi maana huyu Kaka Wakudadavua sii mchezo!.
P
 
Mbona unaangaika na Lissu why husiangaike na mkeo na watoto wako achalia mbali wazazi wako waliopauka kwa kukosa huduma muhimu za kijamii?
 
Watz walio wengi huwa hawapigi kura. Sijui mna akili gani. Halafu maisha yakibana mnakimbilia bondeni kwa wazulu.
 
All in all, Lissu anatakiwa aweMAKINI SANA na huyu mwanasiasa anayeitwa ZZK ([emoji216][emoji216][emoji216])
 
Yaani kweli huyu MTU Wakudadavuwa anatoka atokako na kuja JF kuleta mada about Chadema na Lissu huku Zitto na watu na fikra zenu mnaamini tetesi zake?
Kwani nyie wrote wageni hapa JF na hamumjui Wakudadavuwa?
Poleni sana kwa muda wenu!
Kamanda tulia utaumia moyo sana
 
Mayalla kwanini usimwambie ukweli na kifasaha tu kua" Mwana mbati Mashikolo mageni"????
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…