Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

  1. Kimwili ni sawa lakini mioyoni wanafahamu ukweli,kuwa Mh.Lissu ndiye Mkombozi wa Watanzania wengi wazalendo.Wengi wanajizuia kwa hofu waliyojazwa na watawala.
Watu wengi wanajua ukweli huu. Hakuna ubishi.
 
Wale msioelewa nini nchi inatala endeleeni kuwa upande huo huo wa wanyampala. Wanafunzi waliostarabika hawana habari na CCM
Nina akili timamu mkuu usilazimishe ubongo wangu ugande ili tufanane,ninasoma ili nielimike sio kuongeza Cv pia nitofautishe na mwanafunzi aliye chuo lkn anaenda chooni anajisaidia na kukamata mavi yake na kuanza kuchora kuta kama upon chuo nadhani umejionea,na nikuweke wazi kama Magufuli hayupo bora nisichague mtu na huyo unayemtaja namfahamu na kumuelewa vzr tu mpaka kwa baba yake,narudia usiniweke kwenye kundi la vichaa.
 
Vijana w
Hata vijana tuliostarabika hatuna habari na CCM. Tunahabari na mtu anadhumuni la kututoa matopeni.
Tumemaliza vyuo 4 to 5 years tunahasle kitaa hafu tumchague. Simchagui
Nyinyi vijana najua mnapenda chama chenu cha CCM na wala sio kosa. Lakini ni kosa kumrudisha mtu madarakani akakufanyia umafia ule ule kwa mars ya pili. Endeleeni na chama chenu lakini Kura mpeni Tundu Lissu.
 
Sawa. Shikilia msimamo wako huohuo. Tunaenda na wanaotaka mabadiliko wanaoona mbali.
 

Watia nia kugombea urais sasa wamebaki 7 kati ya 11 waliochukua fomu. Ni baada ya 4 kutorudisha fomu ofisi ya Makao Makuu CHADEMA na miongoni mwa ambao hawajarudisha fomu ni Mh. Freeman Mbowe na Mch. Peter Msigwa.

Mkutano mkuu wa CHADEMA utafanyika tarehe 29 Julai 2020 kupitia na kuchagua miongoni mwa watia nia 7 wanaowania kubeberusha bendera ya CHADEMA ngazi ya Urais hapo Oktoba 2020.
 
Safari hii MAGAMBA lazima watafute tundu la kupenyea.....
 
Wale msioelewa nini nchi inatala endeleeni kuwa upande huo huo wa wanyampala. Wanafunzi waliostarabika hawana habari na CCM
Acha zako wewe!!! Tundu mwenyewe midomo imejaa matusi tu!! Labda akaongoze genge la wahuni huko!!!

Alway graduates tunajua nini tunafanya ondoa hiyo generalization yako!!
 
Yeyote atakayeipigia kura CCM baada ya madhila yote, ubabe, jeuri, ukatili, propaganda, kutojali kwa miaka yote hii mitano kwa kweli akapimwe akili

Nani kamjari mnyonge zaidi ya JPM hata upinzani mnajua hilo,

ubabe, jeuri na ukatili ni kwa wale wasiolitakia mema taifa wahujumu wa nchi na wasio tii sheria za nchi!!

Namwamini sana huyu jamaa JPM
 
Upinzani ukiungana, njia ni nyeupeee
Tuliungana 2015, wakaiba.
Tukiungana mwaka huu, wataiba pia.

Mimi sio muumini tena wa njia za amani katika kutafuta haki, na kiongozi yeyote atakayekuwa anahubiri njia hiyo katika kupata haki ajue mimi simuungi mkono, zinahitajika njia mbadala katika kupata haki! (Ikiwa sisi ni binadam, watanzania, haki yetu haiombwi, tunaichukua!)

Uvumilivu mwisho 2015!
 
Nitamchagua Lissu endapo atasimamishwa kugombea uRaisi wa nchi hii iliyobakwa na mnyonyaji na mkatili anayejiita mpenzi wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…