Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya dhati ya kuwakomboa makundi haya muhimu ktk taifa letu.

Akitangaza nia ya kugombea Kiti cha urais mwanzoni mwa July 2020 kupitia bendera ya upinzani ameeleza kuwa anatambua maumivu, mateso, umasikini na kero zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano. Taarifa zinaonesha kitakwimu kuanzia 2000 hadi 2018 zaidi ya wanafunzi 16.7M wamemaliza vyuo. Hawa ni kundi la wanamabadiliko. Wanaounga mkono sera za maendeleo wanaopenda uhuru na siasa safi.

1. Serikali imeamua kuwanyonga na kuwakamu mpaka damu graduates ( waliomaliza vyuo vikuu) kwa kutunga sheria mbovu za makato ya mikopo asilimia 15 kinyume cha sheria iliyokuwepo kwenye mkataba cha asilimia 8 tu. Hali hii iliyotetewa na wabunge wa CCM huku bunge likiwa gizani imeleta umaskini badala ya kuboresha maisha ya wahitimu hawa mara wanapoajiriwa au kujiajiri badala ya kuleta nafuu.

Imefika mahali mwajiriwa anaona bora asipate ajira afanye udalali au hata umachinga tu.

Mfano ni kijana mmoja nimekutana naye kwenye ofsi za bodi ya mikopo aliyesomea nchini China. Baada ya kupata ajira mshahara wake yaani gross salary ni 1.2M baada ya makato ya kodi za kikoloni na 15% ya Bodi ya mikopo anabakiwa tu na laki sita. Hali ni tete

2. swala la ajira limekuwa mtihani mkubwa na sintofahamu. Waliomaliza wanasugua visigino huku hakuna taasisi inayotoa mikopo nafuu ili wajiajiri kirahisi .walioko vyuoni hawaoni future yao maana wanaona kaka zao na dada zao wanavyohaha mtaani

Kundi hili kubwa litapata nafuu tu litakapomchagua kiongozi sio tu mwenye uchungu na maisha ya watanzania bali pia yeye mwenyewe ni mhanga wa uchumi mbovu uliosababishwa na serikali ya Rais Magufuli.

Hima hima wanavyo, wafanya kazi twende na Lissu Mzalendo wa Kweli.

Upinzani tunajua hakuna kama Lissu kwa muda huu. Tupeni haki yetu kwa kutuletea Mgombea mwenye sifa, uwezo na weledi wa kutuongoza. Kama Mgombea siyo Lissu hatutaki kusikia akina Membe? Nyalandu wala Lipumba. Ni bora tubaki na huyu huyu mvurugaji tutamzoea hivyo hivyo.

Asalam aleykum.
 
Kamanda mbona ni zaidi ya mafuriko?? Utafanya uchaguzi uhailishwe aisee..maana magufuri kadhaminiwa na watu 1.2 milioni...daah kwa takwimu hz utafanya corona ufufuliwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namuona yesu wa chatto akiuma meno kwa hasira na uwoga.... Asante sana mliomdhamini Lissu sasa October ni kuimwaga pombe
Hali ni nzuri mno kila kona ni Lisuu tu ndiye anasikika. Ni Mungu tu ndie aliyepanga Lissu awe mkombozi wa watanzania. Mtu wa Mungu huyu
.
 
Huwa hawapigi kura hao...wao wanakua Zooom kule,Mabumbe etc.
Mkuu achana na mazoea 2015 Jpm kura 8M , Lowasa 6M , twaweza 2016 walifanya utafiti wao ulisababisha kufungiwa kazi zao na kutungwa sheria mbovu ya kuwadhibiti walikuja na matokea Jpm alikuwa ameshuka kuungwa mkono kutoka 86% 2015 hadi 56% 2016. Upo hapo??
Namba hazidanganyi.
 
Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya dhati ya kuwakomboa makundi haya muhimu ktk taifa letu.

Akitangaza nia ya kugombea Kiti cha urais mwanzoni mwa July 2020 kupitia bendera ya upinzani ameeleza kuwa anatambua maumivu, mateso, umasikini na kero zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano. Taarifa zinaonesha kitakwimu kuanzia 2000 hadi 2018 zaidi ya wanafunzi 16.7M wamemaliza vyuo. Hawa ni kundi la wanamabadiliko. Wanaounga mkono sera za maendeleo wanaopenda uhuru na siasa safi.

1. Serikali imeamua kuwanyonga na kuwakamu mpaka damu graduates( waliomaliza vyuo vikuu) kwa kutunga sheria mbovu za makato ya mikopo asilimia 15 kinyume cha sheria iliyokuwepo kwenye mkataba cha asilimia 8 tu. Hali hii iliyotetewa na wabunge wa CCM huku bunge likiwa gizani imeleta umaskini badala ya kuboresha maisha ya wahitimu hawa mara wanapoajiriwa au kujiajiri badala ya kuleta nafuu.

Imefika mahali mwajiriwa anaona bora asipate ajira afanye udalali au hata umachinga tu.

Mfano ni kijana mmoja nimekutana naye kwenye ofsi za bodi ya mikopo aliyesomea nchini China. Baada ya kupata ajira mshahara wake yaani gross salary ni 1.2M baada ya makato ya kodi za kikoloni na 15% ya Bodi ya mikopo anabakiwa tu na laki sita. Hali ni tete

2. swala la ajira limekuwa mtihani mkubwa na sintofahamu. Waliomaliza wanasugua visigino huku hakuna taasisi inayotoa mikopo nafuu ili wajiajiri kirahisi .walioko vyuoni hawaoni future yao maana wanaona kaka zao na dada zao wanavyohaha mtaani

Kundi hili kubwa litapata nafuu tu litakapomchagua kiongozi sio tu mwenye uchungu na maisha ya watanzania bali pia yeye mwenyewe ni mhanga wa uchumi mbovu uliosababishwa na serikali ya Rais Magufuli.

Hima hima wanavyo, wafanya kazi twende na Lissu Mzalendo wa Kweli.

Upinzani tunajua hakuna kama Lissu kwa muda huu. Tupeni haki yetu kwa kutuletea Mgombea mwenye sifa, uwezo na weledi wa kutuongoza. Kama Mgombea siyo Lissu hatutaki kusikia akina Membe? Nyalandu wala Lipumba. Ni bora tubaki na huyu huyu mvurugaji tutamzoea hivyo hivyo.

Asalam aleykum.
What is this supposed to be!? Bandiko au andiko la kumpigia kampeni MDIASPORA LISSU au MKIMBIZI LISSU? Mgombea hajaja, hajachukua fomu, hajajitokeza hadharani, nyinyi wenye bahati wachache ndio MNAMUONA MITANDAONI na kumsemea. Haya tusubiri tuone mambo haya yatakavyo kuwa as we approach his arrival date, alisema anaingia Tanzania lini, tarehe 27/07/2020? Anasubiriwa ajibu kesi zake na kosa la KU-JUMP BAIL! All the best wapiga debe.
 
Tulia usiwe na haraka. Things on calculation. All moves are well planned.
 
Mkuu mbona umetujumuisha wanavyuo wote? Sie wengine tunajielewa hivyo tunaweza kuchanganua mambo.
Wale msioelewa nini nchi inatala endeleeni kuwa upande huo huo wa wanyampala. Wanafunzi waliostarabika hawana habari na CCM
 
What is this supposed to be!? Bandiko au andiko la kumpigia kampeni MDIASPORA LISSU au MKIMBIZI LISSU? Mgombea hajaja, hajachukua fomu, hajajitokeza hadharani, nyinyi wenye bahati wachache ndio MNAMUONA MITANDAONI na kumsemea. Haya tusubiri tuone mambo haya yatakavyo kuwa as we approach his arrival date, alisema anaingia Tanzania lini, tarehe 27/07/2020? Anasubiriwa ajibu kesi zake na kosa la KU-JUMP BAIL! All the best wapiga debe.
Acha weeeee! Aseee!
 
Back
Top Bottom