Hakuna mkamilifu. Double standard hata wewe unayo huko uliko. Sema kwa vile hatuioni na iwapo wewe huwezi kujitambua basi bwabwaja ya mwenzako tu.
JPM kama binadamu anaweza akaamua kuacha kumuchukulia mtu hatua kulinga na mahitaji ya wakati huo.
Haujaeleweka mkuu!, right now we are talking about chadema halafu wewe unaingiza maada nyingine!, Come on men acha kukurupuka hovyo hovyo.Maccm yanaruka na kukanyagana tu..
Za mabeberu zimedhibitiwa.kumbuka sheria mpya ya BOT kwa miamala ya nje.Hamueleweki mara wanatumia na mabeberu mara hawana pesa, mbona mnateseka
Wewe.. Unazania kila kitu kinasheria? Kisa mmepata mgombea mwanasheria unazania kila kitu kina sheria?Anaangalia mazingira au sheria? Kwani anaoongoza kwa utashi wake au katiba na sheria?
Loooh hii ni hatari sana! Hata mwezi bado mambo yanakuwa hivi na hao wafadhili waliowapa hiyo ruzuku watataka mahesabu sahihi ili watoe pesa nyingine na Accounting Officer hatoi ushirikiano! Mtafanyaje itakapokuja ile marathon ya siku sitini za kampeni!?Habari haina ushahidi wowote huku Tundu Lissu mwenyewe akionekana kuendelea na shughuli zake.
Kama ni kweli Lissu hana pesa ya kampeni "tupo tutamchangia" na kampeni zitafanyika. Kawaambie waliokutuma.
Kwani ? Magu pesa za campaign atazipata wapi?
You are right it is on us and not on them. Mh. Lissu na sisi wataka mabadiliko tuhakikishe anakamilisha mchakato wa kukusanya wathamini awakilishe orodha NEC aende zake Singida akakae mpaka siku ya Uchaguzi akapige kura yake angoje matokeo maana chema chajiuza kibovu chajitembeza. Sote pamoja na wao tunajua kila jitihada zitafanywa kumuengua asigombee, watambambikizia kesi, wasiojulikana watajaribu kukamilisha kazi, ikishindikana wataiba kura kama kawaidà yao na kumtangaza mshindani kuwa mshindi wa kishindo na yeye kushindwa kwa kupata kura moja yake.Tutachanga sisi wanachama na raia wenye mapenzi mema na Lissu
Wewe wala usiwe na pressure,it is on us not you!
Sasa tusisikie kuwa wanatumiwa na mabeberu, hv wadhani wananchi watashindwa kuwachangia. Haukumbuki zile kesi jinsi walivyotolewa mule segedansi.Za mabeberu zimedhibitiwa.kumbuka sheria mpya ya BOT kwa miamala ya nje.
Pesa ipo acha kukariri vya kudanganywa na watengeneza propaganda wanaoshinda gheto kwa cyprian MusibaPole sana Lissu. Hukujua tu, kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mafanikio ya kisiasa na ukwasi. Ilipaswa upime kabla kama wewe hauna pesa basi taasisi inayokudhamini iwe na pesa ila kama nyote hamna pesa basi tukushukuru tu kwa kushiriki na kuchangamsha genge. Achana na haya mambo jipange next time
Yaweza kuwa kweliOkey
Ule utaratibu mpya uliyotolewa na BOT wa ubadilishaji pesa za kigeni ndiyo unaosababisha hilo tatizo la ukosefu wa pesa ndani ya chadema!!