Tundu Lissu: Kuna biashara haramu ya utoaji wa vibali vya uagizaji wa Sukari nchini. Siku nikitaja majina mtashangaa

Wakibisha

Hao wanaobisha ndio akina nani sasa.

Hapo sioni mbishi ila kuna mlalamikaji pekee. Jamaa anazingua huyu
 
Kwamba wasipobisha hatowataja?
Hapa ndo unakumbushwa kuwa za kuambiwa changanya na za kwako. Za kwako ni kujiuliza majina yapo? Kwanini hayatajwi mpaka wabishe? Kama nahusika Kuna haja ya kubisha kama sijatajwa? Unaposema kubisha unamaanisha nitoke hadharani huku sijatajwa au unaniita tumalizane nikibisha ndo unitaje? Za kuchanganya ni nyingi.
 
Kabisa,unajua Lissu anakuja na siasa za miaka ya 90,anapaswa kuwataja majina ili aoneshe unguli wake kisheria,anaogopa nini huyu mbelgiji?
 
The same stories from the same people,huyu bwana namjua ni bingwa na malikia wa ungo,apingwe na kila mtanzania anayeioenda nchi yake
 
Hili naamini ni la kweli
Hapo Tundu anajitengenezea ulaji na mtaji wake ni wananchi.

Anamtaja Malkia na wafuasi wake Ikulu na viongozi wa dini ili kuwastua wampe kidogo asiwataje.

Maana akiwataja mchezo utakwisha na hatapata chochote.

Cha msingi anawaacha kwenye mabano ili wao wamtafute asiwataje. Wampe RUSHWA

Huyu LISSU anajitemgenezea mazingira ya kupokea RUSHWA
 
Taja kama una majina!! Tundu Lissu acha DRAMA. Wewe mwenyewe huna mshipa wa kuchuja uongee nini kwa wakati gani!! Kama una majina TAJA
 
Umejiongeza boss, hivyo ule ni wito wa kisiasa sio? Unasema "Najua siri yako, nitafute na ukibisha nakutaja".
Deal za hivi amezipiga sana Zitto alipokuwa bungeni na anarudi tena mwakani haya ndio mambo yanayomuweka town. I know what you did last summer 😂😂
 
Boss, unadhani huko kubisha anakozungumzia anamaanisha abishe bila kutajwa? Au anamaanisha amtafute private halafu wasipoelewana akibisha ndo amtaje?
tusubilie matokeo2 maana tayal jamaa kashayavulia nguo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…