Tundu Lissu: Kuna biashara haramu ya utoaji wa vibali vya uagizaji wa Sukari nchini. Siku nikitaja majina mtashangaa

Tundu Lissu: Kuna biashara haramu ya utoaji wa vibali vya uagizaji wa Sukari nchini. Siku nikitaja majina mtashangaa

Hiv inahitajika ufike chuo kikuu kujua kwamba Lissu anatafuta attention Tu?

Mtu gani atabisha wakati hajatajwa? Abishe nini?

Lissu Kama Yuko serious basi ataje hayo majina ili watakaotajwa waweze kufahamika ni ikibid kubisha wabishe.
 
Hapo Tundu anajitengenezea ulaji na mtaji wake ni wananchi.

Anamtaja Malkia na wafuasi wake Ikulu na viongozi wa dini ili kuwastua wampe kidogo asiwataje.

Maana akiwataja mchezo utakwisha na hatapata chochote.

Cha msingi anawaacha kwenye mabano ili wao wamtafute asiwataje. Wampe RUSHWA

Huyu LISSU anajitemgenezea mazingira ya kupokea RUSHWA
Lakini kimsingi ameshawataja Kwa nafasi zao.
 
Taja kama una majina!! Tundu Lissu acha DRAMA. Wewe mwenyewe huna mshipa wa kuchuja uongee nini kwa wakati gani!! Kama una majina TAJA
Malikia wenu huyu anajifanya mvaa ushungi kumbe mwizi tu?

Ndio maana juzi kwenye kura za maoni za gazeti la mwananchi alipata kura 17% dhidi ya 59% za marehemu

Wanaomwelewa huyu bibi ni wale machawa wake tu

Kina Bashe ndio mabumunda kabisa yanajifanya yako busy kumbe ni mahuni tu
 
Hapa ndo unakumbushwa kuwa za kuambiwa changanya na za kwako. Za kwako ni kujiuliza majina yapo? Kwanini hayatajwi mpaka wabishe? Kama nahusika Kuna haja ya kubisha kama sijatajwa? Unaposema kubisha unamaanisha nitoke hadharani huku sijatajwa au unaniita tumalizane nikibisha ndo unitaje? Za kuchanganya ni nyingi.
Mnataka a wataje mara ngapi?
 
Deal za hivi amezipiga sana Zitto alipokuwa bungeni na anarudi tena mwakani haya ndio mambo yanayomuweka town. I know what you did last summer 😂😂
Wenzio wamekula mia mbili mbili kwa kilo na unajua, unaitumiaje hiyo taarifa?
 
Hiv inahitajika ufike chuo kikuu kujua kwamba Lissu anatafuta attention Tu?

Mtu gani atabisha wakati hajatajwa? Abishe nini?

Lissu Kama Yuko serious basi ataje hayo majina ili watakaotajwa waweze kufahamika ni ikibid kubisha wabishe.
Si kamtaja kwamba ni malikia na watu wake wa ikulu
 
Taja kama una majina!! Tundu Lissu acha DRAMA. Wewe mwenyewe huna mshipa wa kuchuja uongee nini kwa wakati gani!! Kama una majina TAJA
Vilaza Mmeshapanik ....huyo haongeagi bila data hiyo KITU tunasemaga TAYARI!!

Stay tuned...hawako Bungeni ila Wako kwenye BUNGE LA WANANCHI
 
Hiv inahitajika ufike chuo kikuu kujua kwamba Lissu anatafuta attention Tu?

Mtu gani atabisha wakati hajatajwa? Abishe nini?

Lissu Kama Yuko serious basi ataje hayo majina ili watakaotajwa waweze kufahamika ni ikibid kubisha wabishe.
Kwenye hili Lissu amechochora na hii sio tunayemjua kwamba huwa na akili za fyatu pale anapoamua kutaja majina maana aliweza hata kumsema a sitting President bwana Yohana kwamba ni Rais wa ajabu sasa kwa hili ameshindwaje ingali evidence anazo?

Kama ndio hivi basi hakuna maana ya kuitisha mkutano halafu unaishia kuweka vitendawili.
 
tusubilie matokeo2 maana tayal jamaa kashayavulia nguo...
Angesema kuna watu wamepewa vibali vya sukari kwa njia ya Rushwa ingejulikana anafichua uovu. Ila kutishia kuwataja iwalo watabisha hapo nia ya kufichuo uovu imeingia doa.
 
The same stories from the same people,huyu bwana namjua ni bingwa na malikia wa ungo,apingwe na kila mtanzania anayeioenda nchi yake
Utapingaje kabla ya jambo lenyewe halijawekwa wazi sawa sawa?

Je ukweli ukijulikana kwamba jambo hilo ni la kweli wakati umeshatushawishi kupinga bila tathimini ya jambo lenyewe itakuwaje?

Ushawishi wako huu utafaa kama habari itathibitishwa kuwa ni ya uongo.

Mbona kila mtu mnataka kumsilimisha uchawa nchi hii?

Wengine madhehebu hayo hatuyataki.
 
Wajinga ndiyo waliwao.

Chadomo hawana sera wao wana porojo, kubwabwaja na kuhororoja bila mpango tu.

Hapo hakuna zaidi ya ufataani tu.
Kwani anaaema uwongo mbona huo ndiyo ukweli na unajulikana

Ova
 
Back
Top Bottom