Tundu Lissu: Kuna biashara haramu ya utoaji wa vibali vya uagizaji wa Sukari nchini. Siku nikitaja majina mtashangaa

Tundu Lissu: Kuna biashara haramu ya utoaji wa vibali vya uagizaji wa Sukari nchini. Siku nikitaja majina mtashangaa

Kwenye hili Lissu amechochora na hii sio tunayemjua kwamba huwa na akili za fyatu pale anapoamua kutaja majina maana aliweza hata kumsema a sitting President bwana Yohana kwamba ni Rais wa ajabu sasa kwa hili ameshindwaje ingali evidence anazo?

Kama ndio hivi basi hakuna maana ya kuitisha mkutano halafu unaishia kuweka vitendawili.
Hata ukiwa na uelewa wa chekechea Lissu kaeleweka

Kukusaidia tu bomu la machozi likipigwa kinachofuata huwa Virungu tu kwa kwenda mbele
 
Angesema kuna watu wamepewa vibali vya sukari kwa njia ya Rushwa ingejulikana anafichua uovu. Ila kutishia kuwataja iwalo watabisha hapo nia ya kufichuo uovu imeingia doa.
ndio maana nimesema tusubilie matokeo...anajua anachokifanya...tuwe na subira
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
ndio maana nimesema tusubilie matokeo...anajua anachokifanya...tuwe na subira
OK boss. Ila ukijaribu kuwaza mfano wa matokeo yanaweza kuwa kama yapi unaona kabisa kuwa akitaja ni kwasababu hawakuelewana asipotaja wameelewana. Either way kutishia kuwataja ilikuwa si smart move. Angeweza kusema ana taarifa za kupeana vibali vya sukari kwa rushwa then siku akiamua kuwataja anataja tu.
 
Kwani mashoga hamna huku kwenu mbona wapo na mnaishi
Nao mnajukuika nao kwenye matamasha yenu

Ova
Umesikia huko Lissu katoa barua yake kuhusu chaguzi zenu kujaa rushwa,unajua ni pesa za join the chain?
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi atawataja hadharani.

"Kuna biashara inafanyika na mimi nitataja majina mtashangaa, kuna siku nitataja majina mtashangaa. Kuna watu wanapewa vibali anaambiwa hivi kwa kila kilo moja ya kibali cha kuagiza sukari nje lipa Tsh. 200. Tukikupa tani 30,000, ni kilo milioni 30, zidisha mara 200 ni Tsh. Bilioni 6."

"Mfanyabiashara analipa Bilioni 6 anapewa kibali cha kuagiza sukari, anaagiza sukari anakuja kuongeza yeye Tsh. 1000 juu, wewe unanunua sukari bei imeongezeka kwa Tsh. 1000 ya mfanyabiashara na 200 ya hii biashara ya huyu malkia na watu wake wa Ikulu."

Ameongeza "Kama kuna mtu anabisha anataka tutaje orodha ya viongozi wa kidini waliopewa vibali vya sukari, viongozi wa kidini, Shehe gani kwenye nchi hii ana duka la sukari, au askofu gani kwenye nchi hii ana duka la sukari? Anapewaje kibali cha kuagiza tani 35,000 za sukari afu yeye anaenda kuuza kwa wafanyabiashara anawaambia nipe mia mbili mia mbili kwa kilo, wakibisha na wabishe waone. "
tuna upinzani usiojielewa kabisa nchi hii, ukibaraka nao ni mzigo....

mpinzani unanatishia kutaja majina? :pedroP:

kwamba hao mafisadi unao tishia kuwataja wakuite pembeni wakuzibe mdomo kwa rushwa? au unahamu sana na asali, eee:pedroP:

thus why nasema everyday Tz hakuna vibrant opposition with alternative plans. ni kubwelabweka na vihoja visivyo na impact yoyote politicaly speaking.....

coz ni upotoshaji wa kutunga tu na ukizongatia ni mtu mzima hata haya hana kusema uongo.....

eti wakubisha waseme?:pedroP::pedroP:

hayupo mtu mwenye muda kubishana na wewe mpotoshaji kibaraka. watu wako bize na kazi ya kutumikia wanainchi. we endelea kuwapotosha mercenaries wenzie:BASED:
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi atawataja hadharani.

"Kuna biashara inafanyika na mimi nitataja majina mtashangaa, kuna siku nitataja majina mtashangaa. Kuna watu wanapewa vibali anaambiwa hivi kwa kila kilo moja ya kibali cha kuagiza sukari nje lipa Tsh. 200. Tukikupa tani 30,000, ni kilo milioni 30, zidisha mara 200 ni Tsh. Bilioni 6."

"Mfanyabiashara analipa Bilioni 6 anapewa kibali cha kuagiza sukari, anaagiza sukari anakuja kuongeza yeye Tsh. 1000 juu, wewe unanunua sukari bei imeongezeka kwa Tsh. 1000 ya mfanyabiashara na 200 ya hii biashara ya huyu malkia na watu wake wa Ikulu."

Ameongeza "Kama kuna mtu anabisha anataka tutaje orodha ya viongozi wa kidini waliopewa vibali vya sukari, viongozi wa kidini, Shehe gani kwenye nchi hii ana duka la sukari, au askofu gani kwenye nchi hii ana duka la sukari? Anapewaje kibali cha kuagiza tani 35,000 za sukari afu yeye anaenda kuuza kwa wafanyabiashara anawaambia nipe mia mbili mia mbili kwa kilo, wakibisha na wabishe waone. "
Ndio maana nchi haitakaa kamwe iweze kujitegemea kwa uzalishaji wa bidhaa maana kuna watu wao na familia zao biashara yao ni kuagiza bidhaa kutoka nje. Kwa mfano watahujumu kwa nguvu zote sekta ya sukari kuanzia mashamba hadi uanzishaji wa viwanda vya sukari. Hata wakijidai kuanzisha kiwanda ni kuzuga ili waendelee kuagiza kutoka nje. Kuna familia zingine ni wagizaji wa ngano wengine wa mchele, wengine magari. Unakuta familia kama hizo nyingi niza asili ya kiasia na ni shughuli yao toka enzi ya ukoloni. Kwa hivyo kuhujumu viwanda na kuhonga wapewe vibali kupambana na vikwazo kuagiza ni katika kuhakikisha wanaendelea na maisha yao. Inahitaji uongozi aina ya kimagufuli kukabiliana na watu wabinafsi wenye kulinda maslahi yao kwa gharama ya umma na taifa ambalo linahitahi maendeleo ya kweli ya kiuchumi kwa watu wake.
 
Hivi taarifa ya Lissu na ya makonda aliyesema Kuna mawaziri atawataja wanalipa watu wamtukane rais Ina tofauti gani, Lissu alitakiwa awataje wahusika au anataka na yeye apewe mgao, hiyo ndio kazi ya upinzani
 
"Mfanyabiashara analipa Bilioni 6 anapewa kibali cha kuagiza sukari, anaagiza sukari anakuja kuongeza yeye Tsh. 1000 juu, wewe unanunua sukari bei imeongezeka kwa Tsh. 1000 ya mfanyabiashara, na 200 ya hii biashara ya huyu malkia na watu wake wa Ikulu."
 
Back
Top Bottom