Tundu Lissu: Kuna biashara haramu ya utoaji wa vibali vya uagizaji wa Sukari nchini. Siku nikitaja majina mtashangaa

Mimi sitaji ili nifurahishe wanafiki,nitawataja nikiwa na ushahidi wakutosha.
 
Luhanga ndio
Ccm jengeni uhimara wa chama 2025 mpende msipende , nilisha sema Mungu wangu amewafutilia mbali kiuongozi , SSH fanya ufanyavyo ccm Mungu ameinyima kibali ccm kutawala , sasa mie sio hao, Mungu wangu yupo up to date sana , nilisema wKati wa Maghufuli na SSH ukilazimisha haina shida , pitia kauli zangu kipindi cha mwenda zake aliekua boss wako utajua ,mie sio mchungaji , sina kanisa ,ni mlala hoi wa kawaida tu ,sasa jichanganye, asema Bwana , kale mafao ya urais tu basi maana ni haki yako kikatiba . Kipindi cha mwendazake uchaguzi na kabla yapo niliodokeza na wewe nakupa dokezo achana na hii , sikupangii uhamuzi ni wako suka au kunyoa ,thanks Madam ,asema Bwana


Upatapo mda pitia post zangu kabla ya uchaguzi na bahada ya uchaguzi kwa acc hii utajua nasema nini, machawa yalinibeza sana sana ,so hachana na hii kitu, Bwana anasema sio zam yenu ccm ,ukilazimisha sawa ,Tunza hii mh rais
 
Amina Mtumishi
 
Ccm kama ummejipanga kuleta machafuko nchi hii sawa but Mungu alisha wakataa kiutawala ,sasa mtakabidhi damu za watu sijui kwa kheri au shari sijui au msifanye hivyo , maana upanga wa Bwana hupo juu yenu asema Bwana ,sio maneno yangu bali ni unenaji wa Mungu wangu,sasa jichangaye , Bwana anasem ataigeuza aridhi nyembamba kuwa kubwa na kuu na itakua pia kuu nzito kama dhahabu ( wanao jua kusali wataweza nipa maana)

Kipindi cha mwendazake nilsema na nasema upya kibali cha Bwana, kabla ya campaign nilioneshwa mti mrefu kuliko yote ambao Mungu wangu alisema niutafute, nikaomba msaada toka kwa manabii na wachungaji hapa jf , matokeo yake yalikua matusi na kejeli , rejea post zangu 2020 -2021 , OK its Time
Thanks
 
Wewe Tanzania hii bado unakula sukari?

Asali inafanya kazi gani?
 

Kwa matendo machafu na ya kutisha yanayofanywa na CCM na Serikali yake, na ukweli kuwa Watanzania siyo watu wa kuhamaki hata pale wanapoonewa, kwa unyonge wao huo, ndipo ukuu wa Mungu hudhihirila.

Basi wale watu wa imani wala wasichoke kuomba na kumlilia Mungu ili ukuu wa Mungu uzidi kudhihirika dhidi ya hawa CCM na Serikali yake wanaoogolea kwenye anasa ya dhuluma dhidi ya wananchi wanaokamuliwa usiku na mchana. Dhidi ya hawa CCM wanaozunguka Dunia nzima kutafuta mikopo ambayo kwa kiasi kikubwa anagharamia anasa zao na mapato yao yasiyo haki kwa gharama ya mateso ya vizazi vijavyo.

Nao wananchi wenye nguvu, wauvae ujasiri, wala wasisite kufanya lolote dhidi ya CCM, ili iondoke. Na hakika hilo litawezekana maana siku zote Mungu yupo nyuma yao wapiginiao haki yao na vizazi vijavyo.

Lazima CCM itatoka na kutoweka.
 
kumekuchaaa!
 
Tangu mwezi wa nne sasa hivi mwezi wa Sita unaisha hajawataja na bado kuna nyumbu wanamuamini.
 
Nchi ipi mikononi mwa mumiani wenye sura za utakatifu.Majizi yote yaliyowekwa kando na yule jemedari kutoka Chato yamerudi kilingeni kufilisi nchi.Il 'pazia' yao haaishi kupepea angani kila uchao huku wao wakiiba,kukwapua,kupora na kuumiza nchi bila ya hofu.Hizi ni dalili dhahiri kabisa kwamba kuna genge hatari sana nchi hii lenye nguvu kubwa kuliko Serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…