CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
Luhanga ndio nani?Luhanga kawataja? Unaongelea Lissu wa Nchi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Luhanga ndio nani?Luhanga kawataja? Unaongelea Lissu wa Nchi gani
Mimi sitaji ili nifurahishe wanafiki,nitawataja nikiwa na ushahidi wakutosha.Kwani wewe katika maisha yako umewahi kumtaja nani kwa ufisadi? Kwa maelezo tu hayo aliyosema wewe unaweza simama in mahali popote hata mtaani kwako tu ukayasema mbele za watu? Je umesahau orodha ya mafisadi aliowataja Lissu pale mwembe yanga akiwemo PM wa zamani? Kwa sasa hivi hakuna mpinzani mwenye ujasiri kumzidi huyo jamaa. Haogopi mtu huyo jamaa na anajiamini sn
Bila ulinzi wa Mungu huyu mzalendo manusura warisasi 16, atauwawa kwa moja tu. Tumuombee sana huyu mheshimiwa.Lissu alindwe
Ccm jengeni uhimara wa chama 2025 mpende msipende , nilisha sema Mungu wangu amewafutilia mbali kiuongozi , SSH fanya ufanyavyo ccm Mungu ameinyima kibali ccm kutawala , sasa mie sio hao, Mungu wangu yupo up to date sana , nilisema wKati wa Maghufuli na SSH ukilazimisha haina shida , pitia kauli zangu kipindi cha mwenda zake aliekua boss wako utajua ,mie sio mchungaji , sina kanisa ,ni mlala hoi wa kawaida tu ,sasa jichanganye, asema Bwana , kale mafao ya urais tu basi maana ni haki yako kikatiba . Kipindi cha mwendazake uchaguzi na kabla yapo niliodokeza na wewe nakupa dokezo achana na hii , sikupangii uhamuzi ni wako suka au kunyoa ,thanks Madam ,asema BwanaLuhanga ndio
Amina MtumishiCcm jengeni uhimara wa chama 2025 mpende msipende , nilisha sema Mungu wangu amewafutilia mbali kiuongozi , SSH fanya ufanyavyo ccm Mungu ameinyima kibali ccm kutawala , sasa mie sio hao, Mungu wangu yupo up to date sana , nilisema wKati wa Maghufuli na SSH ukilazimisha haina shida , pitia kauli zangu kipindi cha mwenda zake aliekua boss wako utajua ,mie sio mchungaji , sina kanisa ,ni mlala hoi wa kawaida tu ,sasa jichanganye, asema Bwana , kale mafao ya urais tu basi maana ni haki yako kikatiba . Kipindi cha mwendazake uchaguzi na kabla yapo niliodokeza na wewe nakupa dokezo achana na hii , sikupangii uhamuzi ni wako suka au kunyoa ,thanks Madam ,asema Bwana
Upatapo mda pitia post zangu kabla ya uchaguzi na bahada ya uchaguzi kwa acc hii utajua nasema nini, machawa yalinibeza sana sana ,so hachana na hii kitu, Bwana anasema sio zam yenu ccm ,ukilazimisha sawa ,Tunza hii mh rais
Wewe Tanzania hii bado unakula sukari?Mkuu kwa hii kitu tunaenda kujua nani yupo na watz , misukari imeletwa kama kweli ,hatujui usalama wake , inaumizaa au itaumiza watu kwa namna gani kama kweli ,sio mimi ,wewe ndugu zako haijalishi waishi nje ya nchi au la ,alafu tunaleta utani , uchama katika jambo hili,
Kama ni kweli ndivyo hii itakua kama mauwaji ya kimbari ya taratibu kama hatuweza weza pata wachunguzi huru wa vyakula kutoka nje ya nchi , ili kutudhibishia kwamba iyo sukari ilikua na viwango au la kwa mlaji , kabla ya kuongelea ufisadi katika kitu hii.
Tunataka uchunguzi huru wa team toka nje chunguza masukali haya kwanza
Hahaha....duuhMass stupidity. Prof.Assad.
Nani wa kuwang'oaTaja tuu watu wang'oke,huu upumbavu wa kununua Sukari 4,500 ukome mara Moja
Sina jibuWewe Tanzania hii bado unakula sukari?
Asali inafanya kazi gani?
Naomba nininunulie dum Lt 40 za asali mkuu nitakushukuruWewe Tanzania hii bado unakula sukari?
Asali inafanya kazi gani?
Bunge,kwani waliong'oka zamani nani aliwang'oa?Nani wa kuwang'oa
Ccm jengeni uhimara wa chama 2025 mpende msipende , nilisha sema Mungu wangu amewafutilia mbali kiuongozi , SSH fanya ufanyavyo ccm Mungu ameinyima kibali ccm kutawala , sasa mie sio hao, Mungu wangu yupo up to date sana , nilisema wKati wa Maghufuli na SSH ukilazimisha haina shida , pitia kauli zangu kipindi cha mwenda zake aliekua boss wako utajua ,mie sio mchungaji , sina kanisa ,ni mlala hoi wa kawaida tu ,sasa jichanganye, asema Bwana , kale mafao ya urais tu basi maana ni haki yako kikatiba . Kipindi cha mwendazake uchaguzi na kabla yapo niliodokeza na wewe nakupa dokezo achana na hii , sikupangii uhamuzi ni wako suka au kunyoa ,thanks Madam ,asema Bwana
Upatapo mda pitia post zangu kabla ya uchaguzi na bahada ya uchaguzi kwa acc hii utajua nasema nini, machawa yalinibeza sana sana ,so hachana na hii kitu, Bwana anasema sio zam yenu ccm ,ukilazimisha sawa ,Tunza hii mh rais
kumekuchaaa!
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi atawataja hadharani.
"Kuna biashara inafanyika na mimi nitataja majina mtashangaa, kuna siku nitataja majina mtashangaa. Kuna watu wanapewa vibali anaambiwa hivi kwa kila kilo moja ya kibali cha kuagiza sukari nje lipa Tsh. 200. Tukikupa tani 30,000, ni kilo milioni 30, zidisha mara 200 ni Tsh. Bilioni 6."
"Mfanyabiashara analipa Bilioni 6 anapewa kibali cha kuagiza sukari, anaagiza sukari anakuja kuongeza yeye Tsh. 1000 juu, wewe unanunua sukari bei imeongezeka kwa Tsh. 1000 ya mfanyabiashara na 200 ya hii biashara ya huyu malkia na watu wake wa Ikulu."
Ameongeza "Kama kuna mtu anabisha anataka tutaje orodha ya viongozi wa kidini waliopewa vibali vya sukari, viongozi wa kidini, Shehe gani kwenye nchi hii ana duka la sukari, au askofu gani kwenye nchi hii ana duka la sukari? Anapewaje kibali cha kuagiza tani 35,000 za sukari afu yeye anaenda kuuza kwa wafanyabiashara anawaambia nipe mia mbili mia mbili kwa kilo, wakibisha na wabishe waone. "
Tangu mwezi wa nne sasa hivi mwezi wa Sita unaisha hajawataja na bado kuna nyumbu wanamuamini.

Uozo mtupu
Huko ndo "kubisha" alikosema? Au alikuwa anakuzungmzia wewe?Uozo mtupu
Tumpe support sisi wananchiMwenyezi Mungu ampe umri mrefu huyu mtu. Amlinde kwa ajili ya vizazi na vizazi
Ajuza umefufuka? rudi kwenu Zanzibar sisi tunapambania nchi yetuWajinga ndiyo waliwao.
Chadomo hawana sera wao wana porojo, kubwabwaja na kuhororoja bila mpango tu.
Hapo hakuna zaidi ya ufataani tu.