Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa na Mgombea wa Uenyekiti, Tundu Lissu kwenye mahojiano na Wasafi Media amesema;
"Nachotaka kusema ni kwamba Uchaguzi huu kumekuwa na fedha nyingi sana..sana, ambazo wala sio za CHADEMA, (lengo la fedha hizo) ni kuhakikisha kwamba CHADEMA inakua na msimamo wa aina fulani, inakua na viongozi wa aina fulani (msimamo legelege dhidi ya dola)"
Lissu: Freeman Mbowe ndiye aliyempa Tuzo (ya maridhiano) Rais Samia bila ridhaa ya Chama
Soma, Pia;
- Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
- Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa