Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna fedha chafu zimeingizwa CHADEMA ili tulegeze msimamo

Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna fedha chafu zimeingizwa CHADEMA ili tulegeze msimamo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa na Mgombea wa Uenyekiti, Tundu Lissu kwenye mahojiano na Wasafi Media amesema;

"Nachotaka kusema ni kwamba Uchaguzi huu kumekuwa na fedha nyingi sana..sana, ambazo wala sio za CHADEMA, (lengo la fedha hizo) ni kuhakikisha kwamba CHADEMA inakua na msimamo wa aina fulani, inakua na viongozi wa aina fulani (msimamo legelege dhidi ya dola)"
View attachment 3201153
Lissu: Freeman Mbowe ndiye aliyempa Tuzo (ya maridhiano) Rais Samia bila ridhaa ya Chama
View attachment 3201203

Soma, Pia;

-
Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

- Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
Mbona huyu Charles anamlisha .maneno" lege lege dhidi ya serikali"
 
Mi huwa nasoma comments za nyumbu wa lissu tu nijiridhishe ni vp hawana kitu kichwani, kama wa humu jf wamezidi....ni vijinga vijingaa, haijalishi kama ni vibabu au vibibi, vyote vinakuwa vijinga tu.
Mwaka huu mmekwama
 
Hapa ndo anapojiharibia, yeye ajinadi kwa wapiga kura ili tar 21 wafanye kweli sio ku-attack chama harafu ushahidi hakuna, naanza kupoteza imani na yeye
#Akishindwa anatembea huyu
Acha kuweweseka wewe chawa
 
You can’t fight fate

Naelewa kwa Mbowe ni ngumu sana kuona jitihada zao zinapotea kirahisi. He is to blame somehow kutotengeneza viongozi wenye leadership skills sahihi.

Kwa upande fulani natamani, Lissu ashinde come 2026 tuwaambie, we told you so. I am certain of that 100%, Lissu hana qualities za kuongoza taasisi.
Uchawa unakusumbua
 
Mi huwa nasoma comments za nyumbu wa lissu tu nijiridhishe ni vp hawana kitu kichwani, kama wa humu jf wamezidi....ni vijinga vijingaa, haijalishi kama ni vibabu au vibibi, vyote vinakuwa vijinga tu.
Nyumbu wa Mbowe ni vilaza kama boss wao
 
Hapa ndo anapojiharibia, yeye ajinadi kwa wapiga kura ili tar 21 wafanye kweli sio ku-attack chama harafu ushahidi hakuna, naanza kupoteza imani na yeye
#Akishindwa anatembea huyu
Bado unasimamia haya maneno yako mpaka sasa?
 
Haya maneno yako bado ni valid?
Yap naamini hivyo.

Kilichotokea ni sawa na movie ‘the great white hope’; watch it.

Watanzania wanatafuta hero wa upande wao, kwa siasa zinazoendelea. Na Lissu ndio walau mbeba matumaini.

Lakini he is not a leader, ni circumstances tu ndio zimewabeba; hasa ukizingatia uharibifu unaofanywa na ‘bi-tozo’ na genge lake.
 
Back
Top Bottom