Kuwa karibu na viongozi sio makosa?
Kwenye briefcase kuna nini?
Kama ni fedha/document ni za nani zimetoka kwa nani na zinaenda kwa nani? Kufanya nini?? Kuna uvunjifu wa sheria(viashiria vya rushwa?)
#Mi ni timu Lissu hoja za Mbowe ni dhaifu na tunategemea Lissu aje na hoja za kuwashawishi hata timu Mbowe wajane mf. Hadi sasa tushaelewa kuwa
-mfumo inabidi ibadilike je anaubadirishaje,
-katiba ya CDM ina madhaifu atutie moyo kuondoa na kuongeza vipengele kwa kushirikiana na viongozi na wanachamam
-mamlaka ya viongozi,
-ruzuku za chama,
-uwakilishi bungeni na ngazi za chini, -kuzuia wizi wa kura kwny uchaguzi mbalimbali
*Haya maeneo ni muhimu sana na hayawezi kugawa chama yanapoongelewa