Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna fedha chafu zimeingizwa CHADEMA ili tulegeze msimamo

Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna fedha chafu zimeingizwa CHADEMA ili tulegeze msimamo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anajiharibia nini? Hamtaki kuambiwa ukweli? Hamtaki aseme ilihali mmepewa? Kwa taarifa yako, chochote tunachoweza kukifanya CCM, chadema mnaweza kukifanya vizuri zaidi . Hata kwenye rushwa, Chadema wako vizuri kwenye rushwa kuliko CCM.
Ukweli bila ushahidi ni kelele, hivyo vielelezo vikiwasilishwa kwa wananchi/wanachadema Lissu saa nne tu ashakuwa m/kiti
#Kuhusu ccm hicho sio chama ni majambazi
 
Nyamaza kijana maana huelewi kitu. Kutembea ni briefcase umeelewa maana yake au unadandia mambo bila kuelewa?
Rushwa huwezi kuona picha zake bali waweza kuelewa miondoko yake!
Hahaa hiyo miondoko utawapelekea takukuru
 
Waandishi wetu ni vilaza sana, hivi ni nani huwa anakili kutoa au kupokea rushwa hadharani humu duniani? Hata huko mahakamani huwa wanaulizwa “ how do you like to plead, guilty or not guilty ?” Na Jibu huwa ni not guilty Siku zote…
Sasa ya nini kuuliza ushahidi wa kitu ambacho hakuna anayekili kukitoa au kukipokea?
Ushahidi wa rushwa Siku zote ni circumstancial ndio maana karibu nchi zote humu duniani isipokuwa Singapore pekee ndipo rushwa inaweza kuthibitishwa. Zilizobaki ni circumstantial tu… Acheni kuuliza maswali ambayo majibu yake munayo unless kama ni kujalizia dakika na kutafuta sounds-bites na kuuliza tu ili hali majibu munayo.
 
Pamoja na majibu mazuri ya Lissu, Wasafi wamshikilie huyu mtangazaji, ndiye pekee niliyemuona mwenye akili.
Wasafi wanajua wakitaka mahojiano sensitive vipo vichwa vya kuvituma.

Ingekuwa ni fedheha kwa media endapo host wa hayo mahojiano angekuwa Oscar au Edo.

Kama ambavyo wamekuwa wakituchanganya hatuelewi hao jamaa taaluma yao ni nini japo mwazo tuliwajua kama wachambuzi ila saizi tunawaona kwenye siasa, mapenzi hadi vipindi vya umbea pia wapo.
 
Ukweli bila ushahidi ni kelele, hivyo vielelezo vikiwasilishwa kwa wananchi/wanachadema Lissu saa nne tu ashakuwa m/kiti
#Kuhusu ccm hicho sio chama ni majambazi
The fact kwamba chadema mnatuhumiana kuwa Watoa Rushwa, ni mafanikio makubwa sana kwetu CCM. Rasmi sasa, icon ya Rushwa Tanzania atakua Mbowe na genge lake. Hatutaki tena kusikia ooooh ccm wanatoa nini sijui. Nyinyi mnatoa zaidi yetu.
 
Ni MBOWE na Wana CCM wenzake waliopo CDM ndio watoka rushwa
 
The fact kwamba chadema mnatuhumiana kuwa Watoa Rushwa, ni mafanikio makubwa sana kwetu CCM. Rasmi sasa, icon ya Rushwa Tanzania atakua Mbowe na genge lake. Hatutaki tena kusikia ooooh ccm wanatoa nini sijui. Nyinyi mnatoa zaidi yetu.
Huyo Abdul mama yake ni M/kiti wa CC(M)
 
Kutembea na briefcase ndo ushahidi, kuwa serious bro
He, yaani utembee tu na hela bila sababu za msingi huku ukiwa karibu na viongozi wakubwa wa upinzani? ww ndio haupo serious si unasikia kuna mmoja kadakwa anagawa hongo akihadaa ni nauli?

Safari hii mmebanwa mbavu kama mbwa kwenye mdomo wa chatu
 
Kuwa karibu na viongozi sio makosa?
Kwenye briefcase kuna nini?
Kama ni fedha/document ni za nani zimetoka kwa nani na zinaenda kwa nani? Kufanya nini?? Kuna uvunjifu wa sheria(viashiria vya rushwa?)
#Mi ni timu Lissu hoja za Mbowe ni dhaifu na tunategemea Lissu aje na hoja za kuwashawishi hata timu Mbowe wajane mf. Hadi sasa tushaelewa kuwa
-mfumo inabidi ibadilike je anaubadirishaje,
-katiba ya CDM ina madhaifu atutie moyo kuondoa na kuongeza vipengele kwa kushirikiana na viongozi na wanachamam
-mamlaka ya viongozi,
-ruzuku za chama,
-uwakilishi bungeni na ngazi za chini, -kuzuia wizi wa kura kwny uchaguzi mbalimbali
*Haya maeneo ni muhimu sana na hayawezi kugawa chama yanapoongelewa
 
Back
Top Bottom